Recent content by nicholau

  1. N

    TAMKO: CUF yatangaza kutoyatambua matokeo na hakimtambui Dkt. Shein

    Shein alishakubari kushindwa Zanzibar mwaka jana 2015, akaja yule wa Mtwara Mmakonde Nkapa akafoka, kama alivyofanya 2010 na Shein akabadili gia.
  2. N

    Sumaye: Kinana anapiga dili za meno ya Tembo

    Hii inanishangaza, ccm badala ya kunadi chama chao wanasema chagua magufuli. Ina maana ccm haikubaliki? Na hao madiwani ni wa Magufuli au wa nani?
  3. N

    Sumaye: Kinana anapiga dili za meno ya Tembo

    CCM watuambie ni nani anakamata tembo wa Tanzania kila kukicha? Au ni majini?
  4. N

    Lowassa: Shilingi laki nane anazodaiwa kila Mtanzania huenda zilitumika "kuzungukazunguka" Duniani

    Kikwete wakati anaingia madarakani, Ritz ndo alikuwa anakaribia kumaliza chuo kikuu. Leo Ritz ni tillionea. Kazitoa wapi?
  5. N

    Wazee: Dr. Magufuli ni chaguo la Mungu

    Neno mgombea wa ccm ni chaguo la Mungu tuliambiwa mwaka 1995 wakati Kikwete anagombea. Matokeo yake kaiacha nchi katika hali isiyokubalika. Mungu anapenda watanzania wawe maskini? Haikubaliki hii dhana, tunapaswa kuhoji. Mgombea nani ni chaguo la shetani? Kikwete muogope Mungu.
  6. N

    Hakuna namna ya kumzuia Magufuli kuingia Ikulu

    Ndio maana mnatumia nickname, munaongea ushabiki wakati tunahitaji evidence. wewe T2015CCM na stresman mnakuwaje?
  7. N

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Aende akajumuike na UKAWA wenziwe. Aache kijicho
  8. N

    Rais Kikwete aridhia na Kusaini Miswada iliyopitishwa na Bunge kuwa Sheria

    wakiingia UKAWA, wataifuta yote kama ilivyo Katiba mipya
  9. N

    Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

    Mambo yote ni Magic fm
  10. N

    Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

    ulikuwa hujui?
  11. N

    Dr. Bilal ana kasoro gani?

    Kwa kweli Dr Bilal anamsimmo tofauti na ccm, sijui kwa nini hakusoma alama za nyakati.Kwanza aliotuliwa kuwa mgomba menza,aikuwa amechukuafomu ya urais wa Zanzibar. Hkujua kuwa anayependekezwa na kuchaguliwa kuwa mgombea hashiniizwi kumteua awe mgombea mwenza?
  12. N

    UKAWA hatarini kumpoteza Mgombea Urais kabla ya Oktoba 2015

    CCM wameshikwa pabaya kipindi hiki
  13. N

    CCK watishia kumfikisha Magufuli kizimbani kwa kuanza kampeni mapema

    UKAWA inabidi wazinduke. Wanatufanya Ukawa wajinga. Hii ni Kampeni. Jana alikuwa Kahama na Nzega. Hili ni goli la mkono.
  14. N

    Updates za zoezi la uandikishaji vitambulisho vya kupigia kura kwa Mkoa wa Dar es salaam

    Kwa kweli inauma sana. Kule Malamba wamekuja na watu mia tano kwenye computer wakaojiwa ni watu wa wapi hao maana hawajulikani katika mtaa huo. Ikabidi wanafute chini ya usimamizi wa UKAWA. Naomba tuwe tunafuatilia hili zoezi la uandikishaji.
  15. N

    Yah: Kununua kadi za wapiga kura

    Nimepata taarifa kuwa kuwa watu wananunua kadi za wapiga kura na wanaomba picha mbili na huyo mtu anatoa shilingi 1500 za kitanzania. Watanzania hatujafika hapo, kuuza kadi ni sawa na kuuza uhuru wako. Tubadilike watanzania. Hii ni habari ya kweli na inafanyika maeneo ya ubungo, Mabibo na...
Back
Top Bottom