Recent content by NICE LAMECK

  1. N

    JamiiForums Tanzania Dk. Salim awaonya JWTZ, Polisi ‪kuhusu matumizi ya nguvu dhidi ya wananchi‬

    Huyu mzee huwa ana busara sana tumuombe aendelee kutoa ushauri mara kwa mara ili tuweze kujinasua katika wimbi zito la vurugu zinazoanzishwa na vyombo vya ulinzi na usalama vikishinikizwa na serikali dharimu iliyokosa weredi.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete kabaki mwenyewe na Nchimbi, Mwandosya kumuunga mkono Wassira

    Wasira ni dikiteta akiwa Rais mi nahama nchi siwezi tawaliwa na mtu kama huyo na wala asijione anapendwa labda kwa Kikwete tu jimbo la Bunda limemshinda hatakiwi sasa ndo aje atawale taifa ama kweli sasa urais umeonekana ni kazi nyepesi.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mtwara atoa msimamo

    Huo siyo msimamo ni mnafiki mi sina imani nae the way alivyo ni lazima anyenyekee watawala wana Mtwara changanyeni akili msitegemee huyu mwarabu.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Slaa: CCM wanafiki

    Naungana na Dr kweli haya maccm ni manafiki sana,
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hivi Jenista Muhagama ni Uwaziri anataka??

    Mjinga huyo kwani haumujui, hana jipya.
  6. N

    JamiiForums Tanzania VIDEO-Mh.Mchungaji Msigwa aachiwa huru,Apokelewa kama shujaa

    Kuna wimbo unasema Usipige mayowe acha waone wenyewe, hapo sasa nyinyiemu mumejionea.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Gesi Haitoki: Waraka wasambazwa kote Mtwara wananchi kusikiliza kesho bajeti ya Nishati na Madini

    Kataeni gas isitoke kwanza Waziri wa nishati juzi kawaita Vyura kwamba hamuwezi kuzuia serikali kunywa maji.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaisindikiza CHADEMA Ikulu

    Haki haipotei.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Mhe. Zitto kutoka Mtwara

    Zitto ni rais wa kwako we mpuuzi nini!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kati ya Dr. Slaa, Zitto, Freeman Mbowe, Shibuda ni nani tumlaumu kwakutaka kudhoofisha CHAMA??

    Upuuzi mtupu wewe mleta mada unaujinga kwenye ubongo wako. Bado tuna imani na CHADEMA asilimia mia.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Tuko pamoja sana.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge aliyetaka kumtaliki mkewe amwoe kimada,apigwa stopu na mahakama

    Huo ni upuuzi ungepost sehemu yake siyo jukwaa la siasa.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

    Huweleweki ebu rudi uje na taarifa sahihi.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya Lema kuanza kusikilizwa Disemba 4; Jaji Mkuu aamua kujitoa

    Ushindi kwa M4C ni lazima.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa 114mil wa uzinduzi wa Jiji la Arusha, wachukua sura mpya

    Haya sasa walikaa juu ya mawe muda mrefu
Back
Top Bottom