Slaa: CCM wanafiki

Slaa: CCM wanafiki

Dr.slaa wewe ni mkweli siku zote hilo halina ubishi na mungu akulinde na akupe maisha marefu uendelee kuwakosoa hawa chekechea wa ccm.

Dr. Ninaombi moja kwako,
Nina wasiwasi kuna mchezo chafu utachezwa kwenye chaguzi za kata na wapinzani wako ccm ili wapate pa kutokea baada ya lwakataregate kufail.Na huenda kweli msishinde hata kata moja kama hamtakaa na kubaini ni mpango gani ccm wamepanga.Kwa kuwasaidia nendeni ktk vitongoji vya singida mlikoshindwa mkajifunze kwani mbinu iliyotumika ndiyo hiyohiyo itatumika kwa uchaguzi wa madiwani 25.CCM wamejipanga kuwaduwaza ndiyo maana hawahangaiki na majukwaa wana lao la kuwatoa .chunguza mjomba utabaini

Mtu mkweli siku zote anapimwa kwa matendo yake.
 
Dr slaa amewezaje kuona boriti ktk jicho la ccm wakati kibanzi katika jicho la chadema hajakitoa mwenye macho haambiwi tazama na mwenye mbio haambiwi kimbia
 
ccm wakisema amani wanamaanisha watu wakae kimya, wasiongee kwa maana ya kutoa shutuma wala maalalamiko yoyote. hawajui kuwa kukaa kimya sio amani, ni kukosa uhuru. ccm ni wavunjifu wa amani no.1, hivi vituko tunavyovishuhudia ni 1/4 ya vituko wanavyovifanya katika uongozi. nyie kuna watu wanateseka kweli katika nchi hii, Mungu atushushie rehema zake, kuna ofisi watu hawawezi kutekeleza majukumu yao kama inavyotakiwa, ukigusa maslahi yao tu, kama sio transfer utafukuzwa kazi au upotee moja kwa moja. ni zaidi ya tunavyofikiri
 
Dr. Slaa ndiye mnafiki kwasababu anatuambia anaweza kuliongoza taifa letu lenye watu zaidi ya milioni arobaini wakati ameshindwa kuiongoza familia yake isiyozidi watu kumi.

Unajua kwa nini Mr.Ben Mkapa alikuwa anachechemea?
 
Dr. Slaa ndiye mnafiki kwasababu anatuambia anaweza kuliongoza taifa letu lenye watu zaidi ya milioni arobaini wakati ameshindwa kuiongoza familia yake isiyozidi watu kumi.

mwigulu family,vijana mnaojidhalilisha na kuwasaliti ndugu zenu mlowaacha vijijini kwa buku 7,ipo siku mtatoa 0713
 
Ukitaka ujue unafiki wa CCM angalia bunge leo,acheni kupindisha mambo kwa kufikirika,twendeni kwenye uhalisia,utawaona leo wabunge wa CCM wakiisifia serikali sikivu,wataunga mkono bajeti kwa asilimia 100,kisha unamsikia mbunge ananza kulalamika,ooh jimboni kwangu hakuna maji,ooh jimboni kwangu kuna migogoro mikubwa ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji,au kati ya wananchi na wawekezaji, n.k.
hakuna mijitu minafiki kama iliyoko ccm,hakuna mijitu mifisadi kama iliyoko ccm hakuna mijitu yenye ubinafsi kama iliyoko ccm,mijitu haina utu,milafi,mila rushwa to mention a few.
 
kuongea ukweli cyo dhambi ila magamba yakibanwa yanakimbilia invasion of privacy utasema wao ni nusu malaika nusu human being
 
Kusaliti kanisa ni unafiki namba moja jitambue slaa.

Usaliti na unafiki ni vitu viwili tofauti. Kusaliti ni kuacha kitu baada ya ahadi ya kutokiacha, kwa mfano. Unafiki ni kufanya jambo kinyume na unavotaka watu waamini unafanya au kuwa two-faced. Tofauti hizi zitakufanya uelewe mambo vizuri. Kwa mfano wako wa kanisa, ni sahihi kusema Dr. Slaa alisaliti ahadi yake ya upadri lakini huwezi kusema huo ni unafiki.
 
Yeye slaaa ndo mnafiki namba moja tena hadi kaniasani.
ukisikia takataka ndani ya akili, yako imefurika. unaendeleza udini wewe ng'ombe usiyefikiria, kanisani unajua amekuwa mnafiki kivipi wewe mnaaaa... huna akili
 
slaa ndiye mjenz makin wa taifa kwa kipindi tulichopo
 
Back
Top Bottom