Wakuu nina pc hp probook 6370b, tatizo lake ni kustaki mara kwa mara, ukifungua file inaandika "not responding" na kama kulikuwa na program inaendelea kama muziki/ muvie itastop then baada ya muda kidogo inarespond kama kawaida, nimejaribu kucheki naona ziko sawa, nimebadili windows mara kadhaa...