Recent content by nicas16

  1. N

    UEFA Champions league mfumo mpya utakavyokuwa

    Kwa sisi tuliojiajir kwenye betting ni hbari njema sana
  2. N

    Plot4Sale Jipatie Viwanja na Mashamba Dodoma

    Ukilima karibu na ikulu mazao hukomaa cku 30 tu changamkia fursa
  3. N

    Naomba kujuzwa hali ya maisha Korogwe Vijijini

    Hekuna mbui baba Salam zinabua
  4. N

    Naomba kujuzwa hali ya maisha Korogwe Vijijini

    Nekaya naimi niizie kweughusha Wiki yeiza ntaita kigoma Niughushia masista na shehe mkuu aho kwemndolwa
  5. N

    Naomba kujuzwa hali ya maisha Korogwe Vijijini

    Mosie tete niaha sia 4 yakuita ambanguu Yan aha msigitini kwasemangube Ukizinka iviaha hana tenki wahetekea mazi kaibu sana mosie
  6. N

    Naomba kujuzwa hali ya maisha Korogwe Vijijini

    Asee umepataja home kabsa tena kwa heruf kubwa Kwasemangube
  7. N

    Chakula kikubwa cha vijana kwasasa ni Maandazi au Halfcake na Energy

    Acha chuki hakunaga cku debe limefika 2500 kwa mahindi gan yakufika bei hiyo kwa gharama zakilimo zilivyo juu na ardh ilochoka mahindi yafike 2500 kwa wingi upi ulikosea kusifu sana na kukashifu sana bila kubakisha maneno Tunza maneno Usimwamini mwanadamu mwenzako haya leo kakugeuka Ulichokosea...
  8. N

    Chakula kikubwa cha vijana kwasasa ni Maandazi au Halfcake na Energy

    8×6=48 uko tanzania gani wew Gunia la mahindi uku 35 maana yake ni debe eld 5 na 500 hakuna chanafuu kama debe lilifika 20 iweje lirud had 8kwo maendeleo hatua 1 mbele afu kumi nyuma bado unamsifu mtu😀😀😀😀
  9. N

    Chakula kikubwa cha vijana kwasasa ni Maandazi au Halfcake na Energy

    Vp bdo unauza debe kwa bei iyo au jiwe karud madarakani😀😀😀😀
  10. N

    Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

    Nunua zongtong mega Tupa geuka level seat 60×50mbeya to dar m3 kila sku kwa mwez m90 kokotoa sasa apo faida
  11. N

    Msaada: Google Acc yangu inasoma hivi

    Gmail nmeutumia tooea 2013 bila kusahau password Yan hata npoteze cm nkipata mpya nalog in tu sasa iv karibuni ndo imekuwa ivo
  12. N

    Msaada: Google Acc yangu inasoma hivi

    Mbaya zaid nmejaribu kuforget password wanaandika ivo
  13. N

    Msaada: Google Acc yangu inasoma hivi

    Naikumbuka yan naijaza kwa email au namba ya cm jibu ni moja tu mbaya zaid mata ya mwisho nilikuwa naitumix kwenye cm mwez wa 3 nkachange cm Bdo wanadai haipo Yan nliweka documents zangu google drive sjui itakuwaje
  14. N

    Msaada: Google Acc yangu inasoma hivi

    Wakubwa shikamooni, wadogo marahaba Google acc yangu inasoma hivyo. Na nilitunza had vyeti vyangu vya kitaaluma nafanyaje wadau.
  15. N

    Ninakuja Tunduma kuanza maisha upya

    😀😀😀😀
Back
Top Bottom