Recent content by Nic..

  1. Nic..

    Nauza Camera, Fujifilm Xt4, with 18-55mm, 50-140mm f2.8, vyote 5M

    Camera iko katika hali Nzuri, imetumiaka wiki mbili tu kwenye Project. Niliagiza kwa ajili ya project, now nimemaliza. Ni camera nzuri sana hasa kwa Advanced Cinematographers & Photographers. Nilinunua 9.5M, Nauza almost Half a price PRICE 5,000,000 Effective: 26.1 Megapixel (6240 x 4160)...
  2. Nic..

    Car4Sale Nauza Nissan Patrol GR 25M

    Mkuu 17M Unachukua?
  3. Nic..

    Car4Sale Nauza Nissan Patrol GR 25M

    Hii Gari bado ipo?
  4. Nic..

    BMW 320i 2006 Black milioni 5

    Mkuu Imeshauzwa, Nawashukuru Wote
  5. Nic..

    BMW 320i 2006 Black milioni 5

    Iko hivi mkuu, BMW 320 hasa E90 ni moja kati ya Bmw cheap sana kwa uendeshaji. Hakuna spea moja inayofika 2M Ukiacha gearbox na engine. Hii gari ni nzima engine na gearbox, Ni nzima control box, AC iko sawa na accessories zote. Tatizo ni hilo tu la wiring, Naiuza kwa kuwa inahitaji muda mrefu...
  6. Nic..

    BMW 320i 2006 Black milioni 5

    Fundi kapita, ila ni gari yenye fundi mmoja, sijataka kujaribu kila mtu maana utaishia kukuza tatizo. >>Kuna jamaa wa humuhumu janvini kaja na fundi wamecheki na diagnosis machine, inadetect some sensors, na motor ya juu ya engine. Kwa mujibu wa fundi; Moto kutoka kwenye control box haufiki...
  7. Nic..

    BMW 320i 2006 Black milioni 5

    Mkuu hii gari in 100,000km
  8. Nic..

    BMW 320i 2006 Black milioni 5

    Kuna jamaa wa humuhumu janvini kaja na fundi wamecheki na diagnosis machine, inadetect some sensors, na motor ya juu ya engine. Kwa mujibu wa fundi; Moto kutoka kwenye control box haufiki kwenye motor sasa pale kuna wire kibao ndo fundi wangu kahangaika hapo wiki ya tatu sasa, kuna jamaa wa...
  9. Nic..

    BMW 320i 2006 Black milioni 5

    Naheshimu mawazo yako mkuu, Next time acha uvivu wa kusoma
  10. Nic..

    BMW 320i 2006 Black milioni 5

    Kimenyooka kabisa mkuu
  11. Nic..

    BMW 320i 2006 Black milioni 5

    Inashida ya umeme inamiss. inahitaji matengenezo, Inawaka vizuri, posted by owner location: Mbezi beach engine nzuri gear box nzuri Njoo na fundi wako ukague 0716777300 0716777300
  12. Nic..

    COVID 19: Tanzania tuna mashine ngapi za kupumulia? Tumejipanga vipi?

    Kenya: Wanafunzi wa chuo wamebuni Ventilators! Wabunifu wetu wanabuni alikasus:rolleyes:
  13. Nic..

    UPDATES: Mliowahi mjini tujuzeni Jangwani panapitika na mvua hii?

    Kwa aliyepita Maeneo hayo atujuze! Zikianza siasa hapa hatutamaliza
  14. Nic..

    Zijue faida za mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipindi cha ujenzi na mara baada ya ujenzi kukamilika

    Nimependa Issue ya Local Content, Kuanzia suala la Saruji, Nondo mpka Kuwashirikisha Contractors Wazawa kujifunza! Bravo
  15. Nic..

    Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Wana Bei Nzuri, Quality unaamua mwenyewe, Mfano kiatu cha kiume kuna vya 7000 mpka laki, sasa usitegemee kununua cha 7k upate kiatu bora, ni kama kariakoo tu, uwe makini kuchagua tu! ila Overall ni wazuri, Delivery ni 1 Month angalau
Back
Top Bottom