Mkuu jaribu tiba hii kwanza kabisa kinachokutesa ni pale unapokuwa tayari umeshaliwa unapata maumivu na uchungu wa kutaka kupambana mpaka urudishe hela yako iliyopotea na kwa bahati mbaya kadr unavyopambana ili urudishe ndivyo inavuzidi kupoteza na kuzidisha maumivu
Fanya hivi mkuu kwanza kabisa...
Pole sana mkuu Dawa ha
Pole sana mkuu Dawa hapi ni kukubali kwamba umeshapoteza na haziwezi kurudi tena samehe kabisa na isahau usitake kupambana zirudi kadri utakavyojaribu kucheza ili urudishe ndivyo unavyozidi kuliwa na mwishowe kuwa mraibu kabisa
Pole sanamkuu mi naomba nikupongeze kwa hatua kubwa ya kuweza kiacha hii michezo ni rahisi sana kuingia ila kutoka ndio huwa mtihani mkubwa sababu wengi huamini atazirudisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.