Mara nyingi CV za wabongo zinapambwa kwa maneno makubwaaa, lakini jamani CV ni maandishi tu, ambayo humuelezea mtu, lakini hayaelezi ufanisi wake katika hayo anayojisifia hapo anayo.
Mfano, hiyo leadership skill ifanyekazi sasa, Kuna masuala mengi yuko kimya kama vile hasikii vilio vya...