Tunakwenda wapi watanzania?

STABLE GIRL

Member
Feb 7, 2011
19
2
Jamani watanzania tuamke!!! Gharama za maisha zimepanda. Hapo ni mwanzo tu bado bunge letu tukufu halijakaa kupanga bajeti ya 2011/2012. Hivi kweli tutafika? Jamani tufikiri tusije tukafikia walipofikia wenzetu wamisri?
 
Shidda iko wapi c tuliyataka wenyewe? twende huko huko ambako mlowaamini wanatupeleka!
 
Maisha ni magumu mno, tandale, mburahati, manzese, mabatini, igogo juu, jangwani, mbagala,vingunguti, kiwalani, yombo kilakala, kitangiri ni hataaaari tupu huko uswahilini kwetu.
Tunakula sambusa za viazi mviringo na mihogo ya kuchoma + vidagaa vya kukaanga basi weeeee
 
Shidda iko wapi c tuliyataka wenyewe? twende huko huko ambako mlowaamini wanatupeleka!

hata kama ni hivyo lakini kumbuka matokeo yalichakachuliwa!!! nani ajuaye kwamba tuliwataka hao? wote tulibaki midomo wazi baada ya kuona matokeo. tafakari chukua hatua.
 
Ni mpaka kitokee kitu gani ndio bendera hupepea nusu mlingoti? Mengi yameshatokea kama Milipuko , ajali kwenye usafiri, moto na hata kinachoitwa vurugu za kisiasa (c:f Arusha, Mbeya na kwengineko kama Mara) ambazo kuna idadi kubwa ya watu wamepoteza maisha na wengine viungo vya mwili, Kwanini katika hili serikali haioni kuna umuhimu wa kupeperusha bendera nusu mlingoti ikiwa ni ishara ya kuwaheshimu na kuonyesha majonzi kwa ndugu zetu waliopoteza maisha huko G'mboto?
 
Ni kwasababu waoathirika na matukio hayo hawana thamani kwa Kikwete licha ya kwamba ndio wao waliompa ajira! Siku wakifa watoto wake, ndugu zake, na mabwana zake (Rostam Aziz, Edward Lowassa, Mkono etc ) na ndugu zao ndio bendera ya Taifa itapepea nusu mlingoti.
 
yako mambo tunaweza tukayatumia kama ni uzembe wa viongozi ama watawala, lakini yako mambo hata ukitaka kuyahusisha kwa kiwango gani na viongozi hayaingii akilini, hivi ni kweli kwenye hili JK anahusika, au ni kweli hajali watu wake, na ni kweli kwamba sasa ameweza kujali nani ana matter na nani sio. hili ukweli tunatengeneza siaisa. huu ni mtihani wa uongozi na si kweli kwamba JK anadharau au hajali, kwa hili mimi niko tayari kumtetea na kwamba hana nia hata SIKU MOJA YA KUSABABISHA AU KUDHARAU USALAMA WA WATU WAKE NA MALI ZAO, hili ni kubwa tusilichukulie ki urahisi. sikatai dhana ya COLLECTIVE RESPONSIBILITY lakini JK hana mkono na hili na alishawaweka sawa watu wake na kuwapa tahadhari kwamba kitu kama hiki asingependa kitokee tena, ila Mungu pia anao mkono wake, ila pia wenye dhamana hasa ya kutunza vifaa hivi ndio watu wa kufanyiwa kazi. ila JK ni kumonea. Mimi kwenye hili niko nae 100% Hana kosa na ni mtihani kwakwe kama Raisi wa nchi.
 
"Blaza" hapa nashauri tusihusishe jina la Mungu, ogopa, uzembe na upungufu wa imani ya mwanadamu ni kazi ya shetani na malaika wake.

Kama yeye kafeli mtihani huu unafikiri aliowapa madaraka watafaulu?
 
yako mambo tunaweza tukayatumia kama ni uzembe wa viongozi ama watawala, lakini yako mambo hata ukitaka kuyahusisha kwa kiwango gani na viongozi hayaingii akilini, hivi ni kweli kwenye hili JK anahusika, au ni kweli hajali watu wake, na ni kweli kwamba sasa ameweza kujali nani ana matter na nani sio. hili ukweli tunatengeneza siaisa. huu ni mtihani wa uongozi na si kweli kwamba JK anadharau au hajali, kwa hili mimi niko tayari kumtetea na kwamba hana nia hata SIKU MOJA YA KUSABABISHA AU KUDHARAU USALAMA WA WATU WAKE NA MALI ZAO, hili ni kubwa tusilichukulie ki urahisi. sikatai dhana ya COLLECTIVE RESPONSIBILITY lakini JK hana mkono na hili na alishawaweka sawa watu wake na kuwapa tahadhari kwamba kitu kama hiki asingependa kitokee tena, ila Mungu pia anao mkono wake, ila pia wenye dhamana hasa ya kutunza vifaa hivi ndio watu wa kufanyiwa kazi. ila JK ni kumonea. Mimi kwenye hili niko nae 100% Hana kosa na ni mtihani kwakwe kama Raisi wa nchi.

kama raic anapaswa kulaumiwa,mim namlaumu kwa 100%,ni kwamba JK si muwajibishaji watendaj wake,rejelea madudu ya dr hosea,angalia uwozo wa tanroads,tanesko na kwingneko!
 
Majanga!!!!!-majanga!!!!!-majanga!!!! Mara mv bukoba!!, mara ajali ya treni dodoma!!!,.... ajali za barabara kibao!!!, ...mabomu g/mboto 1!!!!!,....mabomu mbagala!!!, ...arusha trajedies!!!!, .....uchaguzi mkuu wa 31.10.2010 uliojaa uchakachukuaji wa wabunge batili 19 na rais batili!!!!,...rais kulindwa na majini!!!!, ....rais kuanguka kila leo!!!!, ...IPTL!!!!, .....richmond!!!, .....dowans!!!!,.......epa!!!!, .....kagoda!!!!,....RA/ENL/AC!!!!!,.....form4 88% failure!!! .....ongezeko kubwa la umasikini katika miaka 5 iliyopita!!!,....kuchakachua kanuni za bunge!!!,.....spika wa ajabu!!!!!!, .....mabomu g/mboto 2!!!!,......taifa kupoteza matumaini na mwelekeo kimaadili!!!!,.. na mengineyo mengi mengi mengi!!!!!!!!!!!
Hivi kweli tutafananaje katika Jumuia ya A Mashariki????????????????
 
Majanga!!!!!-majanga!!!!!-majanga!!!! Mara mv bukoba!!, mara ajali ya treni dodoma!!!,.... ajali za barabara kibao!!!, ...mabomu g/mboto 1!!!!!,....mabomu mbagala!!!, ...arusha trajedies!!!!, .....uchaguzi mkuu wa 31.10.2010 uliojaa uchakachukuaji wa wabunge batili 19 na rais batili!!!!,...rais kulindwa na majini!!!!, ....rais kuanguka kila leo!!!!, ...IPTL!!!!, .....richmond!!!, .....dowans!!!!,.......epa!!!!, .....kagoda!!!!,....RA/ENL/AC!!!!!,.....form4 88% failure!!! .....ongezeko kubwa la umasikini katika miaka 5 iliyopita!!!,....kuchakachua kanuni za bunge!!!,.....spika wa ajabu!!!!!!, .....mabomu g/mboto 2!!!!,......taifa kupoteza matumaini na mwelekeo kimaadili!!!!, umeme migao kibao!!!!!,...maji shida!!!!!,...... na mengineyo mengi mengi mengi!!!!!!!!!!!
Hivi kweli tutafananaje katika Jumuia ya A Mashariki????????????????
 
kufika tutafika ila tutakuwa tumechakaa usipime, tutafika pale tu watanzania tutakapoweza kuchagua viongozi bora na sio bora kiongozi kama hawatulionao!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom