Ccm prove failure | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm prove failure

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkwele, Mar 7, 2011.

 1. M

  Mkwele JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hali ya Usalama Nchini​


  Ndugu Zangu;
  Hayo si matatizo ya kumalizika ndani ya siku tisa. Mzee Nyerere aliongoza kwa miaka 23 na hakuyamaliza matatizo ya maendeleo ya nchi hii. Na wale wa umri wangu au kunizidi wanakumbuka hali ilivyokuwa wakati anangÂ’atuka. Hakuacha nchi ikiwa tajiri. Mzee Mwinyi kakaa miaka 10 hakuyamaliza, Mzee Mkapa nae kakaa miaka 10 hakuyamaliza. Mie nimekaa miaka mitano hayakwisha na nitamaliza mitano hayataisha yote.

  Nimechukua kipande kidogo sana cha hotuba yake.

  Tukiendelea kuongozwa na CCM tutaendelea kuwa masikini milele na milele, CCM have already proved failure.
   
 2. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  100% sure
   
 3. N

  Niajeniaje Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo hata shetani anashangaa kwa uongo uliopitiliza namna hiyo, Mwalimu aliiacha nchi masikini???, haiingii akilini hata kidogo..Rasilimali (Madini, Misitu na sasa wanavuna baharini c.f kesi ya samaki wa magufuli) alizoziacha leo zipo?Viwanda hata cha urafiki leo kinafanya kazi gani?kiwango cha elimu kwa wata-TZ leo kikoje?haya ni baadhi tu ya maswali ambayo kama anajua majibu yake basi hakupaswa kutoa kauli hiyo!
   
Loading...