Recent content by niah

  1. N

    Mzee Jangala aenziwe akiwa hai

    Huyu mzee alitufurahisha enzi zetu wakati huo hakuna tv wala kitu kingine cha kuburudisha. Nafurahi bado yupo hai hivyo hata RTD wenyewe wafanye kila kitu ili mzee Jangala apate heshima zote.
  2. N

    Mwanza: Mlioko Huko Yasemekana Kuna Ajali Hapo Mjini Imesababisha Foleni Kubwa Sana

    Heri yako wewe mwenye PHD ambaye unaweza kujua kila kitu.
  3. N

    Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia

    Ni kweli, mimi niliishi Bunda na SDA, wakishapika chakula cha jioini, jiko linanuna mpaka jioini ya j.mosi. Watoto wanakula vipolo visivyochemshwa. Amini amini nakwambia, sabato wanakula viporo.
  4. N

    Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia

    Ulinogewa na viporo? Maana SDA huwa hawapiki j.mosi. Au nyimbo zao zisizo na ala?
  5. N

    Jomo Kenyatta(RIP): Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao

    Hiyo statement siikumbuki ila nakumbuka Nyerere alimuita Kenyata Nyang'au. Sisi tuliishi kwa kuogopana. Kila mtu alikuwa informa wa mwenzie. Wazazi wetu aliojifanya wana midomo, walifirisiwa kila kitu. Huyo ndo Nyerere ninayemfahamu mimi.
  6. N

    Joseph Musukuma: Wazungu wanatuwekea ushoga kwenye chanjo; haiwezekani binti wa miaka 10 avae sidiria

    Chakula wanachokula, lifestyle yao na kila kitu vinachangia. Watoto wa vijijini wengine wanafikisha miaka 13 hawajavunja ungo lakini wa mijini hasa wale wanaotoka kwenye familia za kati na juu, miaka 10 tayari.
  7. N

    Serikali imvue uraia Maria Sarungi arudi zao Hungary

    Tabia ya wabongo ni kaa kimya wakati ule wa Nyerere tulinyamazishwa hivyo lakini hawa ni vizazi vipya. Ukiwa msemaji au mkosoaji wa system unaambiwa siyo raia. Mifano mizuri ni akina Jenerali Ulimwengu, Kabendera, na sasa wameanza kwa waziri wa kilimo kumchimba. Nchi hii siyo china au russia...
  8. N

    Nishati Safi ya Kupikia, Mwarobaini tunao na ni Bora kuliko Gesi

    Ukweli upo wazi kuwa watu waishio mijini iliyopimwa kama Dodoma wanaweza kusambaziwa umeme na hata gas kiurahisi. Miji nyingine kama Moshi maana ilijengwa na mkoloni inaweza kuwa sawa kwa hii style. Tukija miji nyingine ni kanjanja. Kwanza bararaba inaingia chooni, Gholofa linaangaliana na bati...
  9. N

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Nilichokishuhudia kwenye hii video, siamini kama kuna watu wenye roho mbaya kama wenye nyumba hiyo. Mwemwemwemwe
  10. N

    Mambo 10 aliyofanyiwa Hayati Lowassa baada ya kuhamia CHADEMA

    Tunaomba weee lakini jibu bado. Huyo aliyetangulia arudi atujulishe alichokiona huko kwa dhuluma walizomfanyia kaka yetu Lowasa. Kama yeye alidhulumu mtu mbona miaka yote hakuna aliyejitokeza kulalamika? Tunamsubiri huyo Mungu tunayemuomba kila siku atupe jibu. Zamu hii awashughulikie wale...
  11. N

    Ahsante serikali ya CCM kwa kutuondolea kero hizi

    Wewe unagombea uwenyekiti wa mtaa au kitongoji? Umezunguka nchi nzima ukaona kero za wananchi jinsi wanavyoteseka au wewe ni wale wa ndiyooooo. Vijijini hatuna barabara za kupitisha mazao yetu kwenda kwenye masoko unasema CCM imefanya mengi?? Watu hatuna waganga kwenye zahanati zilizojengwa...
  12. N

    DC wa Songea amesema misaada kutoka nje ina masharti magumu na yanayoumiza, asikitika Ugiriki kukubali Ndoa za Jinsia Moja!

    Kumbuka akina Aristotle na wengine ma philosophers walikuwa mashoga hapa tunaongelea kabla ya Kristu. Ushoga ulikuwepo, upo na utakuwepo tu tupende tusipende. Tumeshuhudia mashekhe na mapadiri wanashitakiwa kulawiti itakuwa waumini????
  13. N

    TANZIA Dkt. Ibrahim Msabaha afariki dunia

    Hii ni Kwaresima.
  14. N

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Aliyemrudisha huyu mtu, atakuja kujuta mbeleni. I feel bad for my Country.
  15. N

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Ni nani?
Back
Top Bottom