Nilitegemea comment kama hii ila wapo watakao zingatia na watakaopuuza pia ndio maana nimewka njia nilizotumia ningetaka kutafuta referrer hapa jf nisingetoa maelezo kama hayo
Habari zenu. Ni muda mrefu nimekuwa nikikusanya GVC coins kupitia referral na rewards mbali mbali. Lengo langu lilikuwa kufikisha coins 1100+ ili kuuza kwa GalaxyMarket kama wanavyoonekana hapo kwenye picha, kwani kipindi cha mwanzo nimeisha wahi kuuza coins 347 kwa QuantamFx ili kujaribu...
Wakuu habari
Nimekuwa nikutumia hii program kwa muda kidogo baada ya kukutana na threads kadhaa humu JF nami nika-download na nikaanza kutumia kama kawaidia.
Nilikuja kushangaa kuona program inanipa ushauri kuhusu biashara yangu mfano leo inaniambia kuwa 'nipungunze kulipa madeni kutokana na...
Wakuu bila salamu ningependa kuuliza/kuomba msaada wa maelekezo najua kwatanzania paypal inazingua kutoa hela ila sina uhakika ikiwa kama inazingua kwenye kuweka.
swali langu ni kwamba je nawezaje kulipia program ya gavana kwa kutumia paypal na je inawezekana kuweka voda visa bila shida kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.