Recent content by ni katika kazi

  1. N

    Apartments zinapangishwa makongo juu.

    gharama ni laki sita swiper.ziko mwisho wa kituo cha mabasi yaendayo makongo. Tuwasiliane zaidi jinsi ya kufika kuzicheki.payment ni miezi sita na 12. Tuwasiliane zaidi kwenye simu mkuu.
  2. N

    Apartments zinapangishwa makongo juu.

    imekamilika sasa mkuu.
  3. N

    Apartments zinapangishwa makongo juu.

    kumradhi kaka, majukumu mengine yalinitinga, nikashindwa kureply one time sijasepa. Bei ni laki sita.three bedroom , one master, large living space, kitchen, balcony mbili.nk hope nimekutoa hofu. Najaribu kuweka picha ila zinagoma.
  4. N

    Apartments zinapangishwa makongo juu.

    bei ni laki sita flat, ila tunaweza zungumza mkuu.
  5. N

    Apartments zinapangishwa makongo juu.

    kwa sasa zimebaki sita. Zote ni three bedroom, one master na mbili vyumba vya kawaida,kitchen, large living room na balcony mbili.
  6. N

    Apartments zinapangishwa makongo juu.

    Sawa mkuu nitafanya hivyo, shukrani kwa ushauri
  7. N

    Apartments zinapangishwa makongo juu.

    Wadau apartments zinapangishwa makongo juu, mwisho karibia na kanisa la roman catholic. Three bedroom apartments, one master, viwili vya kawaida, large living space , kitchen , na balcony mbili. Huduma ya maji, umeme vyote vipo. Bei laki sita. Kwa mawasiliano zaidi 0686833090.
  8. N

    Kwa wakandarasi na wajenzi mitambo inakodishwa.

    kwa hii niliyo orodhesha iko dar-es-salaam,around mwenge area. Kuna mitambo mingine iko mtwara.pia nina vichanja viwili vya kubebea, kwahiyo movement mahala popote sio tatizo. Karibu mkuu
  9. N

    Kwa wakandarasi na wajenzi mitambo inakodishwa.

    Dungu zangu wa jamii forums, ninakodisha mitambo ifwatayo 1.wheel loader cat 930 tsh 500,000 2.wheel loader cat 938g tsh 600,000 3.motor grader 140g na 140h tsh 600,000 4.dozer d6r tsh 700,000 5.excavator cat...
  10. N

    Ni kweli nilikuwa mwenyekiti wa CHADEMA lakini sijawahi kuwa na kadi ya uanachama ya CHADEMA

    Kwa hivi vitu unavyoandika hapa i wonder what type of businessman you are, very arrogant. Kila siku CHADEMA mbona vya CCM huongei?
  11. N

    Anayefahamu namba za kumbi za harusi dar es salaam

    mwenge kama unaelekea coca cola kuna jengo linaitwa josam house. Fika hapo kuna garden ya nje safi kabisa.
  12. N

    Video: RC wa Arusha na Mhe. Godbless Lema dakika chache kabla RC hajaamrisha wafiwa kupigwa mabomu

    watu kama nyie ndio mnafanya ukombozi wa nchi yetu uchelewe.inasikitisha sana kama unaona ukandamizaji wa haki za binadamu unaofanya ni sawa.
  13. N

    Barua ya wazi ya Joseph Mungai kwa tume ya Elimu

    mkuu huyu jamaa angetoa hayo mawazo wakati alipokuwa waziri. Nakumbuka alisaidia sana kuvuruga elimu, alitubadilishia vitabu , wakati watu tunakaribia kufanya mitihani ya form 4, halafu baada ya mwaka , vile vitabu vikafutwa tena. Alisababisha usumbufu sana kwa wanafunzi mwaka 2005.
Back
Top Bottom