Recent content by Nhinawe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Simba ila mashabiki wenzangu ni mambumbumbu ila Mimi nimegoma kuwa mbumbumbu

    Utopolonyo huna lolote.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Kanisa Katoliki lina nguvu. Wengi wamefanyiwa uovu, ni kawaida. Kaguswa Padri Mkatoliki moto umewaka

    Kabisa. Sikutegemea pia hili toka kwa mtu wa level yake ya uandishi. Andiko hili linamaanisha nini kwa jamii na kwa hasa wakati wa sasa!?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ni njia zipi za kukuza GPA kama ikitokea umemaliza Chuo na GPA ndogo

    Mwenye maelezo zaidi kinyuma na haya huyo ni TAPELI anataka kukuibia tu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ni njia zipi za kukuza GPA kama ikitokea umemaliza Chuo na GPA ndogo

    Mwenye maelezo zaidi kinyuma na haya huyo ni TAPELI anataka kukuibia tu.
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

    Tatizo lenu mmemezwa kwenye 50/50 ndiyo maana unafananisha na upande wa KICHWA. Kwa nini uulize kwa KICHWA naye je!! Unataka haki sawa kwa wote? Ndiyo maana NDOA hazidumu miaka hii kwa kutaka haki sawa kwa wote. Hii ni haki ya kimahaba iliyokuwa inazingatiwa. Wanandoa waliishi hivyo, kama unaona...
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

    Kati ya wwaka 1989 au 1990, niliwahi kusuluhisha mtafaruku baina ya rafiki yangu na mkewe, kisa shemeji alilima ukwekwe nyeti bila ya ruhusa ya mumewe. Halafu leo kina Evelyne salt wanaona ni utumwa. Makungwi wameisha siku hizi. Au sijui nao waneingia kwenye mkumbo wa dot.com.
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

    Brother, ndo hawa hawa, ukiwaambia wanakuambia "umepitwa na wakati". Sasa hapo sijui aliyepitwa na wakati ni nani!? Mimi nayajuwa ya nyakati zilizopita na za Sasa. Hawa dot.com ni shida sana.
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

    Frankly, kama rijali, utatamani tu kupandikiza.
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

    Ndiyo umesikia sasa. Uliobaki ni utekelezaji.
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

    Kungwi wako hajakufunda juu ya hili!? Kamwulize, labda alipitiwa.
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

    😎 Mbona unayadharau? Yangekuwa siyo muhimu yangeota mahali nyeti namna hiyo? Wanaopendana inatakiwa hivyo. Halafu brother akimaliza tu kulima, utamwona anataka kupandamo muhogo 😎
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

    Daaah!! Sawasawa ndivyo au nyodo tu? 🤣
  13. N

Back
Top Bottom