Hina shangaza sana kusikia kuwa serikali itawachukulia hatua kali wale wote watakao toa maoni kwenye mitatandao juu ya makosa yanayofanywa na serikali naomba msada wa kuelimisha zaidi ili na mimi nisiwe miongoni mwao watakao chukuliwa hatua.ivi hii serikali gani ambayo haiitaji maoni wala...
Nafikiri akuna asiyeijua siri kali ya tz kwa matukio kama haya hakuna hata
kiongozi mmoja anaye jari na haswa hukizingatia hiki sio kipindi cha uchaguzi ndio kabisa kila mmoja yuko bize na kuangaliamapato yake.watanzania tunatakiwa tujifunze kutokana na makosa kwani lakufanya tunalijua ila...
Siombei hivi ila wewe subiri hutakuja sikia kiongozi furani hali yake mbaya kaperekwa muhimbili na baada ya lisaa limmoja utasikia haa kiongozi aliyeperekwa muhimbiri kapakiwa kwenye ndege anapelekwa einza india kwa matibabu ndio utakapo juwa kuwa serikali inatoa msada wa dharula lakini sio kwa...
Hinauma sana kwani hawakuwa na makosa yoyote ndio mana waliweza kukaa wakiwa hai kwa muda wote huo mungu wasamee vijana hawa kwa yote waliyo kukosea na huzilinde familia zao.amen
Nafikiri akuna asiyeijua siri kali ya tz kwa matukio kama haya hakuna hata
kiongozi mmoja anaye jari na haswa hukizingatia hiki sio kipindi cha uchaguzi ndio kabisa kila mmoja yuko bize na kuangaliamapato yake.watanzania tunatakiwa tujifunze kutokana na makosa kwani lakufanya tunalijua ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.