mkuu kwanza nashukuru kwa historia ya pakstan, bangladesh na India, sikuwahi hata kufikiria kitu kama hicho.
pili asante pia kwa ujumbe murua, kwamba binadamu analevel ya uvumilivu baada ya hapo liwalona liwe
na tatu nikuambie tu, wengi wanaosoma humu wanajua sana kutokana na elimu ya uraia...