Recent content by Ngwega

  1. Ngwega

    JamiiForums Tanzania Pikipiki imegonga gari yangu, ila nimeambiwa kila mtu atengeneze chombo chake kwa hela yake

    Bima yangu au yake ndio inilipe mkuu
  2. Ngwega

    JamiiForums Tanzania Pikipiki imegonga gari yangu, ila nimeambiwa kila mtu atengeneze chombo chake kwa hela yake

    Asante ndugu,,Hatua niliyochukua baada ya kutokea ajali nilipiga polisi wakaja eneo la tukio na kupima ajali kisha kwenda kituoni na kuchukua maelezo na kuandaa file kisha kupeleka mahakamani.Sasa jambo la kushangaza naambiwa kuwa hii kesi ni ya jamuhuri kwahiyo wewe gari yako utalipwa na...
  3. Ngwega

    JamiiForums Tanzania Pikipiki imegonga gari yangu, ila nimeambiwa kila mtu atengeneze chombo chake kwa hela yake

    Nilipata ajali boda boda kagonga gari langu kwa nyuma na kusababisha uharibifu mkubwa tu. Sasa nashanga naambiwa eti kila mtu atengeneze chombo chake hii wanasheria humu ndani imekaaje? Msaada tafadhali
  4. Ngwega

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah ila kanji
  5. Ngwega

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mhhh
  6. Ngwega

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu tupieni code
  7. Ngwega

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shukran mkuu
  8. Ngwega

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi mwenye kujua kwanini Betpawa hawataki ku cash out mkeka wa matreni?
  9. Ngwega

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nipe code wakuu
  10. Ngwega

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kanj ananifilisi
  11. Ngwega

    JamiiForums Tanzania Ninunue lori ya kichina 0 KM au Scania used from Saab Scania

    Mimi naomba kazi kwenye hiyo kampuni yako kaka
  12. Ngwega

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii unachezaji ndugu zangu
  13. Ngwega

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Khaaa
  14. Ngwega

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nipe location mkuu🤪
Back
Top Bottom