Recent content by Ngwaru Ndiavilema

  1. Ngwaru Ndiavilema

    Nakupenda fumbato langu

    HV mnatukana mnamjua nani mnayemtukana?
  2. Ngwaru Ndiavilema

    SHIKAMOO MCHAGA...

    Waliokuwa ndani basi washamba me ningemtafuta chui
  3. Ngwaru Ndiavilema

    Usiombe Ikukute Hii.....

    Hii mbona nyepesi tu so unamuomba mkae meza ya mazungumzo. Tu
  4. Ngwaru Ndiavilema

    Hii kiboko.

    Basi Jana wakati natoka job mbezi beach kufika afrikana si nikakutana na rais Obama. Etii ameniomba lift ikabidi nimpe tukafika mwananyamala akashuka akasema anaishi mwananyamala kisiwan nikamwambia MPE hai kabint Michelle. Basi akaniomba namba za simu. Nikammpa....ghafla nikasituka. Eeeee kumbe...
  5. Ngwaru Ndiavilema

    Usokomoko mmbaya sana.

    Utachekaje wakati we dagaa kavu
  6. Ngwaru Ndiavilema

    Usokomoko mmbaya sana.

    We kauzu nini
  7. Ngwaru Ndiavilema

    Usokomoko mmbaya sana.

    Kuna jamaa chapombe sanaa kila baa mtaani kwetu anaijua yeye anajiiita mchanga hachagui maji. Sasa Siku mmoja jirani yake alimuozesha binti yake. Alitaka kumfanyia sendoff. Basi jamaaa akawa mstari wa mbele sana kwenye ilee hatua za vikao naliahidi kutoa hela nyingi na alizitoa zote. Lkn kila...
  8. Ngwaru Ndiavilema

    Huu kweli ni utoto aisee

    Nilidhani wakubwa hawaendi kutoa taka mwili
  9. Ngwaru Ndiavilema

    anaomba kazi

    Elimu tu itumike kumuelimishaa maana kufanya kazi in haki ya kiasiri ya kula mmoja wetu.
  10. Ngwaru Ndiavilema

    Nakupenda fumbato langu

    Nilalapo hujilaza ndani ya kifua chako niamkapo huamkia ndani ya mwili wako. Joto lako la mpnz nimeshare hats sioni mwingine. Hakika wewe sikuachi wala kukusaliti. Nasikia tu kuwa mpnz yanaumiza kwako siijui chungu hii. U mpenda amani upendo na mshikamano. Daima umekuwa nguzo yangu na msaada...
  11. Ngwaru Ndiavilema

    JAPANESE SEX

    Chizi nini wewe?
  12. Ngwaru Ndiavilema

    Dalili za mtu aliyeathiriwa na mchezo wa ku-bet

    Cha ajabu unawapa njia ya kuboresha dhambiiiiiiii itafika wakati watu watayakataa mafundisho yalio kweli na kufuanda mafundisho ya tamaa zao.....Neno hili limetimia Sasa.
  13. Ngwaru Ndiavilema

    Dalili za mtu aliyeathiriwa na mchezo wa ku-bet

    Haayaa mbona hujasema kubeti kiroho ikoje me nilitumai ungemalizia na kusema mwishowe wanapingana na Mungu?
  14. Ngwaru Ndiavilema

    Naanza rasmi kumsapoti Magufuli, Lowassa angetupoteza

    Wewe VP usiseme Watanzania sema wewe unaiman na huyo. Dah yaani siasa hatari unawasemea wengine baada ya kujisemea nafsi yako. Uliwahi kumuuliza Mtanzania mmojammoja?
  15. Ngwaru Ndiavilema

    Sababu 3 kwanini North Korea wasisitishe program yao ya Nuclear

    Ni kweli wiki Jana nilikuwa na msomi mkoja kutoka Libya MTU maarufu tu nisimtaje nikiwa namuulizia mambo yahusuyo nchi yao. Alisema kuwa kiukweli ni mbegu ya uchochezi tu ilipandwa kati yao na tatizo kubwa yeye alisema ni Ujinga Wa wanachi wenyewe kuukubali uchochezi ule. Hili ni jambo hatari sana
Back
Top Bottom