Recent content by ng'wanankamba

  1. ng'wanankamba

    Samaki bei ya jumla

    Mnauza kuanzia kilo ngapi?
  2. ng'wanankamba

    Ni wapi ninaweza kupata kiwanda au mashine ya kutengeneza chakula cha kuku kwa mkoa wa Dar au Pwani?

    SIDO Vingunguti. Check mtu mmoja anaitwa Tall 0716730991
  3. ng'wanankamba

    Huu sii uchochezi? Wadai msimamo wa Rais Magufuli kupinga uzazi wa mpango utalitia umasikini bara lote zima la Afrika! Je, kuna ukweli wowote?

    Economics The Future Is in Africa, and China Knows It Fast population growth offers some great investment opportunities, but the West is missing out. Unaweza kuisoma makala nzima kwenye Bloomberg
  4. ng'wanankamba

    Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

    Nilikuwa naulizia Sage Evolution sio Pastel.
  5. ng'wanankamba

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Inchi ngapi na ni mpya au used?
  6. ng'wanankamba

    Bei ya Bajaj mpya.

    Wadau naomba kujua bei ya bajaj mpya na hesabu kwa siku pamoja na changamoto ya biashara hii kwa wenye uzoefu na biashara hii.
  7. ng'wanankamba

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    LG inch 55 smart tv UHD 4k bei gani mkuu?
  8. ng'wanankamba

    Jipatie Dawa ya kuua magugu katika mpunga

    Lamex ni shs ngapi kwa 60mls na unatumia kabla au baada ya kupanda mahindi?
  9. ng'wanankamba

    Sheria ya utumishi wa umma ikoje juu ya umri wa Dkt. Slaa?

    Luteni Generali Shimbo alipoteuliwa na Mh Kikwete kuwa balozi wa Tanzania nchini China si alikuwa amestaafu unadhimu?
  10. ng'wanankamba

    Tetesi: TRA kuja na 'Inheritance Tax',mdau nini maoni yako

    Mbona tunalilia demokrasia ya Marekani lakini la kodi tunapinga? Kodi hii Marekani ipo. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. ng'wanankamba

    Tunasambaza Asali ya Nyuki Wakubwa na Wadogo

    Bei kwa ujazo wa lita moja kwa Dar ni shilingi ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ng'wanankamba

    Shujaa Wa Tanzania Hachaguliwi Kwenye Makongamano Yanayofanyika Nje Ya Nchi

    Profesa gani huyo wa sheria? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. ng'wanankamba

    Kitanda hiki naweza kukipata wapi hapa Dar?

    Nenda pale Keko Jaffery Sain Industries Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom