Recent content by Nguzomia

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe akiachia uenyekiti CHADEMA, nani amrithi?

    Hoja ya kijinga. Kwa hiyo Gambo na yy tuanze kumpigia chapuo ili awe m/kiti wa CCM baada ya ushindi wa kishindo kwenye maaneo ambayo tuliaminishwa ni ngome za CDM. Mbona mnaandika vitu vyepesi sana ambavyo hata kijana wa darasa la 4 anaweza akaandika?
  2. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, myajibu maswali haya kwa utulivu, werevu, weledi na ustadi mkubwa. You are heading to your painful end!

    Mr. Wakili msomi! Kazi kweli kweli. Eeeeh, ww na uakili wako utafanya jitihada gani za kisheria. Maana kuna dhana ya kijinga ya kuamini CDM pekee ndo wanajukumu la kupigania mustakabali na ustawi wa nchi hii. Halafu pia CDM ni nani? Wewe kama wakili umewahi hata kushirikiana na jukwaa la katiba...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hela ya Burundi yazidi kuipiga bao shilling yetu ya Tanzania

    Hongera, angalau hapo Burundi umefika na unaongea reality kutoka kwenye field. Vipi Indonesia napo ulikuwepo mwezi uliopita au umetoa kwenye internet kama huyo aliyeingia chaka kwa data za Burudi?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hela ya Burundi yazidi kuipiga bao shilling yetu ya Tanzania

    Conclusion yako ni ipi sasa, nyie wasomi wetu mna shida gani? Baada ya arguments hizo unatakiwa uhitimishe kwa kutuambia hivi; ili kama taifa tusonge mbele kimaendeleo njia nzuri ni “kuwa na sarafu yenye thamani ndogo au yenye thamani kubwa” Sasa umeacha hoja yako ina-hang, ndo umefanya nini sasa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hela ya Burundi yazidi kuipiga bao shilling yetu ya Tanzania

    Nyie watu wenye PhD za evening class mnajiona mmefika kumbe weupe tu kichwani. Elimu yako inatakiwa kutoa ufafanuzi katika mada hii na siyo kutoa kashifa kwa huyo ambaye unadhani hajaenda shule. Hivi nyie watu wa CCM mna shida gani? Kama ulienda shule na ukajifunza unatakiwa usaidie jamii kwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe must step down to allow the oppostion party(CHADEMA) to take off!

    Ni kweli umesaidia chama katika kipindi kigumu na chenye misukosuko kuliko wakati wowote ule. Mathalani mwaka 2013 wakati Zitto na kundi lake wanaondoka, hujakaa sawa 2015 Slaa nae akafanya yake. Lakini ulisimama imara kwa kushirikiana vizuri na Lowassa, Sumaye na viongozi wote ndani ya chama...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata Magari takribani 53 yasiyo na mwenyewe, IGP alaumiwa Mikataba ya Lugumi

    Kama vipi serikali iyanunue tu hata kama mmiliki hajulikani, iliwezekana kuanza mchakato wa kununua vichwa vya treni na mmiliki akiwa hajulikani na malipo yatalipwa huko huko kusikojulikana, sembuse magari 53 tu!!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jesca Kishoa umekiuka Mila Za Kinyiramba

    Unaandika pumba halafu unaanza kupiga MKWARA watu wasitoe MAPOVU. Hizo mila zenu za kibabe kwa wanawake mkajadiliane kwenye magroup yenu ya whatsaap. Kama alichoongea huyo mama ni sahihi ( au amefanya maigizo kulinda mkate wake), je Kafulila hakuona haja ya kushauriana na mwenzie? Au ndo mfumo...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Sheria ya utumishi wa umma ikoje juu ya umri wa Dkt. Slaa?

    Kuna mstaafu ambaye unamjua ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa wizara? uDC na uRC nakubaliana na ww ndo maana wapo akina Zelothe Stephen
  10. N

    JamiiForums Tanzania Sheria ya utumishi wa umma ikoje juu ya umri wa Dkt. Slaa?

    Si mara ya kwanza kusikia balozi fulani amestaafu utumishi wa umma na nafasi yake imejazwa na fulani. Hapo ni kweli huwa wanastaafu au wanakuwa wametumbuliwa? Nadhani wanakuwa wamestaafu. Unaweza pia kutuletea hapa kifungu kinachotaja watumishi wa umma wanaobanwa na kigezo cha umri vs...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Sheria ya utumishi wa umma ikoje juu ya umri wa Dkt. Slaa?

    Una uhakika? Niliona mbunge mmoja wa kuteuliwa akalazimika kujiuzulu na kisha akapangiwa nafasi ya ubalozi ili kukidhi idadi ya wanawake na wanaume wanaopaswa kuteuliwa kuwa wabunge
  12. N

    JamiiForums Tanzania TUJADILI: Baada ya Patrobas Katambi, nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa?

    M/kiti BAVICHA kwa sasa asiwe msukuma. “Itapendeza zaidi”
  13. N

    JamiiForums Tanzania Makonda: Fedha zote za matibabu ya bure kwenye meli katoa Rais Magufuli

    Tatizo la waandishi wa habari wengi ni WAPUUZI NA VILAZA, wanashindwaje kuhoji huyo RC ili atoe ufafanuzi mzuri, inawezekanaje Rais kulipa wachina badala ya kutengeneza miundo mbinu ya hospitali mfano vifaa tiba na mafunzo kwa madaktari waliopo ili huduma kama hizo ziwe endelevu kwa kutolewa na...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Makonda: Fedha zote za matibabu ya bure kwenye meli katoa Rais Magufuli

    Una AKILI NYINGI SANA, big up!!
Back
Top Bottom