Recent content by Nguzo Mia

  1. N

    JamiiForums Tanzania Afrika tuna cha kujifunza kutoka China na Ujerumani, je kuna haja viongozi wazalendo kuongezewe muhula?

    Badilisheni kwanza katiba, hakuna neno huyo mnaemtaka atatawala tu, atakapochoka atamkabidhi hata ndg yake. Hata Nyerere aliongoza zaidi ya miaka 20, kwa hiyo hatuna ugomvi na nani ataongoza kwa muda gani isipokuwa ugomv ni katiba. AG ni wenu, nini kinashindikana kumwagiza apeleke mswaada kwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Vijana tuepuke sana kutumika na wasiolitakia mema Taifa hili

    Jamani huyu nae eti ni “graduate wa std 7” kweli elimu yetu ni majanga. Unapotoa ushauri wa hivi inabidi useme njia sahihi ya kukosoa endapo kuna mtu ataona mambo hayako sawa. Mfano ww huwa unatumia njia gani kukosoa/kushauri serikali, kusifia si lazima maana ni wajibu wao kufanya hivyo...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

    Kwa hiyo akienda kwa mpenzi wake ni JINAI eti amezua taharuki, ila Musiba aliyetangaza watu 10 hatari yy hakuzua taharuki. Kutangaza mtandao wa watu hatari kwa nchi hakika amesababisha taharuki kubwa, wananchi wanaishi kwa hofu kwa kuwa hawajui hao watu hatari kesho watafanya nini, hali...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kakonko: Diwani wa CHADEMA adai kupokea vitisho, asema hataenda Polisi

    wewe ni kiongozi wa pekee. Viongozi wakuu wa CDM ikiwemo bavicha inataka viongozi kama nyie, ila kwa bahati mbaya kwa sasa tuna viongozi ambao maamuzi yao ni sawa na bawacha.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kwenye uzinduzi wa Reli ya Kisasa, mamlaka zatoa ratiba ya treni za bure kuelekea eneo la tukio

    Maandamano ni marufuku. Kesho watu wajitokeze kwa wingi kwenye uzinduzi wa gari moshi “CONTRADICTION”
  6. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imegawanyika? Wakati Lema akimponda Bashe, Komu na Lwakatare wanamtetea Kubenea hoja binafsi

    Bashe vs Kingu, Msukuma, Bashite. Ni mgawanyiko ndani ya chama au utofauti wa mawazo na mwisho wa siku hoja zikijadiliwa watafikia muafaka?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe na Lema hawaendi Ubelgiji kumuona Lissu?

    Viongozi wa CCM walishaenda kumwona Ndugai? Kinana alipotumwa India kwa matibabu, kuna viongozi wako kutoka Lumumba walienda kumjulia hali?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Vijana akili za kuambiwa na CHADEMA changanya na za kwako

    Sijui ni kwa nini taifa lina watu wajinga namna hii. Iko hivi, wanaotaka kuandamana wafuate taratibu ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa polisi na polisi wakiona kuna viashiria vya uhalifu watazuia na kuruhusu siku watakayoona hali iko shwari. Ila ikiwa hakuna tatizo la usalama wataruhusiwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

    Wewe ni mjinga sana, CDM wametangaza maandamano hayo yanayopingwa? Sijui tafrani inatoka wapi, wanaotaka kuandamana hawajasema kuwa hawatafuata taratibu na sheria ikiwa ni pamoja na kuomba kibali. Marufuku ya nini, inatakiwa usubiri kwa maeneo watakayopewa vibali baada ya polisi kujiridhisha...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Manyara linamshikilia mbunge Mary Nagu kwa amri ya Mkuu wa wilaya ya Hanang Sara Ally

    Wakitumaliza sisi watahamia kwenu “Lissu 2017”
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na maneno unayosema ukiwa chini ya ulinzi, ni ushahidi tosha dhidi yako

    Ni kama ninaelewa ulichoandika pia ni kama sielewi. Ukitoa maelezo bila uhakika kwa kukurupuka tu, hayo maelezo ni ushahidi mahakamani. Ni bora kukaa kimya hadi upate usaidizi wa kisheria, sawa! Ukilazimishwa kutoa maelezo (hasa kwa vipigo vya mbwa mwizi), hayo maelezo unaweza kuyapinga...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais mama Janet Magufuli atema cheche kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani

    Waandishi wa TBC/UHURU ni tatizo, wanafukuzia nafasi za idara ya mawasiliano ikulu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni alikuwa dikteta? Au sijui sifa za dikteta!! Mbona alitoa ushauri juu ya Tanzania ya baadae kuepuka dikteta?

    Tunaenda mbele, hatutakiwi kurudi nyuma “Askofu Bagonza”
  14. N

    JamiiForums Tanzania Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

    Kwa hiyo ni jukumu la nani kuhakikisha hii taharuki inatoweka kwa wananchi. Kuna siku unatoa hoja nzuri lkn sometime unatoa mashudu. Umeshindwa kutambua jukumu la kuhakikisha usalama kwa raia ni la nani kabla ya kuposti huu uzi wako?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu wanachukia Mitandao ya kijamii huku wakiwa na jambo lao wanalitupia humu?

    Kila mtu akubali kukosolewa, kusifiwa si LAZIMA ni hisani tu ila KUKOSOLEWA ni haki na pia huthibitisha kuwa binadamu hatuko sawa kwenye kufikiri. Ukiona watu wanakusifia kwa kila jambo, tambue kuwa wamekuachia ww ufikirie kwa niaba yao.
Back
Top Bottom