nimefanya hivyo makusudi, mimi ni mtu mabadiliko, sikuta kutumia account yangu ya siku zote, nimeleta hapa ili tujue jinsi ya kukabiliana na hizi smears, kwana wataanza kuzituma kwenye email soon sasa msiwe na fikra potofu kama mimi nahusika na huu upuuzi, tembelea kwenye wall ya huyo mpuuzi...