Chukua pasi ya umeme,hakikisha imepata moto wa kutosha halafu babua kwenye hiyo tattoo then cku ya interview utawaambia ni jeraha la moto cku nyumba yenu inaungua ! God bless u
Nishasema hakuna mwenye uwezo wa kuhoji mamlaka, mwacheni JPM afanye mambo halafu kumbukeni Magu ni DR na hajahonga kuipata, Magu ni kichwa kweli kweli hakuruputi! Give him some time pls tuache lawama hakuna wa kutuzingua kwa mikataba n afterall kuna washauri wa mikataba kama Mwakyembe...
Huyu mtu yuko dunia ya ngap jmn had unaibiwa!! Those are scammers na wako wengi kwa mitandao na pengine ni dume we unahis mwanamke kwani hujui kuna wanaume wanaigiza sauti za kike na huamin kama ni dume lol pole kaka b careful wit social netwks!!!!
Akipanga na kupangua wewe inakuuma nini? Mwacheni afanye kile anachoona kinafaa kwani yeye ndo mkuu wa nchi ambapo vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni vyake!
Halafu inashangaza sana kwa baadhi ya Watz kujifanya kujua huku hamna lolote unalojua zaidi ya kukosa nidhamu kwa Mamlaka, utaratibu wa...
Huo co Ushujaa ila ni "Ushujaa kifafa" Wee mpe sifa nyepesi aendelee kuumia huku yeye na Ndg zake wakiwa ndo loosers na wewe ukiendelea kula maisha n familia n ndg zako ukipata n muda mzur wa kuandaa thread za kutoa sifa nyepesi huku ukiwa kwako umepumzika kitandani harufu nzuri!
Hakuna kamanda...
Kwann umuhusishe Wazir wakat sio yeye anaetoa mkopo? Tafuta anaejipendekeza kwake kwa kumpatia mkopo Jacquiline huku akijua hana sifa ya kupata mkopo kama unaona uko sahihi na una hoja then huyo ndo ucheze nae lkn sio kumtwisha Wazir mzigo usio wake!!!! Sitaki ujinga mim
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.