Labda kwa wenye asili ya kiarabu na wahindi, tena wao huoana wao kwa wao, huchangamana wao kwa wao, umoja wao upo kiasili zaidi.
Ukija kwa watanzania wa asili, wafanyabiashara wakubwa wengi wakristo
Mbona wengine tuna mke moja na mambo yanaenda vizuri tu.
Haya nayaandika kwa malalamiko mengi ambayo yamekuwa kero kila kukicha, leo hii tu kuna uzi humu mdau analalamika kunyimwa unyumba miezi minne
Imekuwa too much sasa, mara kwa mara naona wanaume wakilalamika kunyimwa unyumba muda mrefu, pia kumekuwa na ongezeko la ndoa nyingi zenye miaka 5+ kukosa watoto.
Kama ni mwanaume
-Ongeza mke
-Vunja ndoa oa mwengine
Kama ni mwanamke
-Omba talaka uolewe upya
Tuache kujifanya wema kwa unafki...
Tukiangalia mwelekeo wa uongozi Tanzania, kuna hali inayoashiria kuwa baadhi ya familia za viongozi wa Kiislamu zimejenga mizizi ya kisiasa kizazi kwa kizazi. Swali ni je, hili ni suala la kulala kwa Wakristo kisiasa, au ni busara ya kuchagua kutohusisha familia na siasa?
Angalia mfano wa...
Watu wengi wakipata nafasi, wanaangalia zaidi namna ya kuinua familia / ndugu zao, si kwa maslahi ya taifa au jamii kwa ujumla.
Mradi mtu na familia / ndugu wake wako vizuri, basi huhisi nchi haina shida hata kama jirani anaumia, hata kama mfumo mzima unaporomoka, wao hayawahusu.
Hiki ndio...
Ni matusi kukiita kiinua mgongo kwasababu hata watumishi waliofanya kazi miaka 30+ katika taasisi kubwa kama Benki kuu, TRA, Bandarini, Tanapa, n.k. wengi sana hawapati hicho kiasi,
Kuna jumla ya majimbo mangapi yenye wabunge
Idadi ya wabunge Viti maalum
Idadi ya wabunge wanaochaguliwa na...
Hadi wengine mnaweza kudhani mlikanyaga chura au mlirukwa mkiwa wachanga na watu wenye mikosi 😂
Ni zaidi ya kismati waweza dhani kuna mitishamba
Mtu yupo kawaida tu lakini hata azingue kazini bosi anaona kawaida, Iga wewe sasa !, mtu akifikia sehemu tayari kiwingu kimemzunguka cha watu, awe...
Producer: Upo aje bro, uko tayari?
Msanii: Ah niko full kabisa, lakini kuna kipengere, hapa sina cash ila kuna mchongo nausikilizia ntakulipa Alhamis.
Producer: wala usihofu, Najua unahaso, tunasaidiana na we do it for the game, laza michano kwenye beat.
Msanii: Sawa ndugu, Mic test, one two...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.