Yule ni mwalimu wa msingi katika masomo Kuna kutumia zana za kufundishia nyingi Kila SoMo yeye katika SoMo Fulani kulihitajika zana ya kinanda yaani keyboard 🎹 guitar 🎸 nk vyote hivyo yeye Kwa kupenda SoMo lake lieleweke akanunua vifaa hivyo pale kariakoo daresalam LKN hakuna ofisa yoyote...
DED NA DPEO waliandikiwa barua na katibu mkuu Tamisemi wakielekezwa kumlipa stahiki zake wakamuita mwalimu ofisini wakamkemea kwanini amekwenda Dodoma? Wakamuahidi kumshughulikia na kweli mpaka Leo hii huyu mwalimu anaishi Kwa mateso Kwa kilio Cha samaki baharini na machozi hayaonekani.Mwalimu...
Habari za jioni wana jamiiforum.
Kwa mwenye ushauri na njia za kumfanya mwalimu huyu aondokane na KERO inayomtesa atoe ushauri hapa.
Kuna mwalimu mmoja pale Kilindi Tanga alikwenda kumripoti mwajiri wake Dodoma tamisemi mwaka 2024 kutokana na mwajiri kutomlipa haki zake mbalimbali.Kuna pesa za...
Habari za muda huu.
Nchi yetu imefikia hatua mbaya sana katika haki za watumishi.Jambo hilo limethibitika baada ya Halmashauri-Kilindi kuhonga baadhi ya viongozi wa CWT Kilindi Ili wasiwatetee walimu katika madai Yao ikiwemo madai ya uhamisho.
Hongo hiyo ni pamoja na kuwalipa pesa zote za...
Habari za jioni.
Tunaomba Kwa maslahi ya ustawi wa elimu wilayani Kilindi Tanga taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa wawachunguze chama Cha walimu Kilindi Tanga kwakuwa ndio wanaohusika na kuhonga ofisi ya utumishi Kilindi isiwatoe walimu wengi wanaotaka kujitoa CWT kutokana na udikteta wa...
Kwanza nakusalimia Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.Kazi iendelee.
Naandika Kwa maumivu makali moyoni juu ya udikteta wa kutisha unaofanywa Kwa walimu wanaodai madai mbalimbali hapa wilayani Kilindi Tanga.Pesa za likizo hazitolewi Kwa wakati Kwa watumishi na zikija zimekatwa.
Pesa...
Habari za mchana.
Malengo ya chama cha walimu ni kuwatetea na kupigania haki za walimu kwa mwajiri.Chama cha walimu Kilindi Tanga hamjali shida za walimu kabisa mnajali kulinda vyeo vyenu laana iwe juu yenu katika kila jambo katika maisha yenu.Ameen.
Walimu wanakatwa pesa za likizo bila huruma...
Walimu 56 wakihama chama cha walimu CWT kilindi Tanga.Hatua hiyo wamefikia kutoa notisi ya mwezi mmoja kwa mwajiri.
"Mimi nadai pesa za uhamisho mwaka wa 6 huu mbaya zaidi kila wanaposema wanatulipa tunaishia kupewa laki mbili,tatu au nne sisi walimu wa msingi lakini wenzetu wa sekondari...
Ubaguzi katika malipo mfano wote mnadai Kila mmoja milioni tatu.Wa msingi atalipwa 200000 Ili adai 2800000 lakini wa sekondari atalipwa milioni Moja Ili adai milioni mbili umeelewa sasa
Habari za muda huu.
Kwa mafanikio makubwa katika historia ya maendeleo ya kielimu wilayani kilindi.Mjumbe maalumu alieandaliwa na walimu hao wenye malalamiko ya madai mbalimbali aliwajulisha walimu kuwa kazi aliyotumwa ameifanya kikamilifu huku akiwatumia picha kadhaa za ushahidi wa kufanikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.