Recent content by ngurumaemadungu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume kulala fofofo mara tu baada ya tendo la ndoa

    kulala tena? labda kama huyo kidume keshakunywa pombe zake huko,matokeo yake ni uchovu wa kilevi na si ngono..mawazo yangu jamani
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wazazi wanaowatafutia watoto wao shule bora

    mimi mwanangu wa kike anasoma kayumba ,lakini akili acha kabisa maksi za juu 95-100 huko.la msingi ni mzazi kuzingatia ratiba za mwanao kimasomo na nyumbani basi...zingine mbwembwe tu...elimu bure hoyeeee.....
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume fanyeni kazi ya kuwanyonya matiti wake zenu

    mimi nilishaanza kitambo tu kwa shemeji yenu mbona,ina raha yake pia
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufanya mapenzi ukiwa umelewa? Tusimulie..

    hahahaahahaha....hapo safi,hakuna mchezo mchezo ,tafuna tu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Alichonifanyia rafiki yangu namuachia Mungu

    bucha limepewa fisi alilinde....kaka pole sana..hapo ulipofikia panakutosha songa mbele na mambo yako aisee....
  6. N

    JamiiForums Tanzania Lazima heshima irudi

    dah,we mkali aiseee..punguza hasira mdada wangu....
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tusiwafadhaishe wanawake, tutimize wajibu!

    uzinzi dawa yake uzinifu tu,hakuna namna. unafurahia kumtongoza kahaba pale sinza,eti amekukubali..mambo mengine bhana....
  8. N

    JamiiForums Tanzania Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

    jamani punguzeni hasira,single mom nao watu mjue...kutokujiamini tu mbona unaoa kabisa single mother na life linakuwa poa tu. inategemea umemkuta katika mazingira gani,lakini wanaoleka kabisa...hata mimi niimpata aliye poa,namaliza kabisa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Watoto waliokua wananunuliwa chupi mpya wanakuja kunionesha wanapita bila kuniamkia

    ''hahahahahaahhahahaahahahahaahah.................................wamalize wakumalize....''
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    time is the best...............27yrs siyo hoja sana....piga issues zako kwa kwenda mbele....
  11. N

    JamiiForums Tanzania Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    hilo nalo neno tena zuri tu....
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwako Single Mother, naomba nafasi tulee huyo mtoto, nitakuwa baba bora mwenye upendo hutoamini

    "siyo kweli nyakati zote huwa hivyo,gusa unase"
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwako Single Mother, naomba nafasi tulee huyo mtoto, nitakuwa baba bora mwenye upendo hutoamini

    WEWE NI SHIDA KWELI,UNAMUUZIA MWENZIO USED ,AJE AKULAUMU BAADAE....HAHAHAHAHA
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wameshafariki watoto wawili , sasa anadai ana mimba tena! Msaada!

    ni mawzo yako ndiyo yanayokutesa,jaribu kufikiria mambo mazuri yakumfanyia kiumbe mtarajiwa ,halafu uone matokeo yake kama hujafurahi.mingine hii ni mitihani aisee
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hitwe ni mtandao gani?

    hao mbona wapo wengi siku hizi. kila siku wanabuni mbinu mpya za kula kisicho fanyiwa kazi,achana naye au kama vipi aje,tena mwambie aje na rafiki zake........
Back
Top Bottom