Recent content by ngurasu aba

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Magufuli sio sawa hata kidogo kwa nafasi anayowania

    umesema kweli kamanda na mm ninakuung mkon, hi nsababu kubwa inanifany niichukie ccm, wao na vyombo vy dola wanajiskia sana na kuiona hii nch kama ya kwao hv, oh mwenyez mungu tusaidie na umsaidie edward lowasa pamoja na mbowe kwan wamenyanyaswa sana pale wanapojaribu kusimamia haki' nakuomba...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kumekucha! Siku tatu kabla ya uchaguzi, Polisi wa Tanzania waanza kutembeza kipigo kwa Wapinzani

    wanahubiri amani bila haki haipo!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli aomba Kura kupitia simu

    kizuri chajiuza., ...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mikutano ya Dr. Magufuli, Dar es Salaam (Kigamboni, Mbagala, Temeke, Ubungo, Kinondoni)

    Ah subiri oct 25 ndio useme wanywa vroba ndio wamepiga kura..
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tukienda kwa logic, magufuli ni mropokaji hebu soma hapa!

    Ndugu wana jamvi, nimekuwa nikifuatili kwa kina mikutano na sera za mgombea wa urais kwa tiketi ya ccm mh. John Pombe Magufuli, baadhi ya mambo ambayo amekuwa akiyanadi na kujisifia n kuwa baada tu ya yeye kuchaguliwa kuwania urais mafisadi yote yamekimbia, pia alipokuwa karatu, amesikia...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mafisadi kuhamia CHADEMA?

    watu wajinga sana, hv orodha ya mafisadi si ipo! wamo ak na fulan na fulan wote mnawajua? je mafisad wanaohama n wapi hao?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli azomewa Mwanza

    kwenye mkutano wake kuna watu walikuja na bendera za chadema
  8. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Tunduma: Mikutano ya Kampeni ya Mgombea Urais, Edward Lowassa - Oktoba 17, 2015

    CCM wataiga nahii subiri uone.!
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    ni kiboko kweli anafaa kuish majini na sio kuwa rais, et anaahidi kiwanda cha nanasi wakati nanasi zenyewe haba, kiwanda cha kusindika nyama na ng'ombe atawatoa wapi au tutasindika nyama za tembo na twiga, nch znazosindika nyama wanaufugaji wa wanyama kwa lunch, anaropoka tu huyo castle lager wenu.
  10. N

    JamiiForums Tanzania GE2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    John castle lager Magufuli
  11. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    acha uji..nga kwan ndugu zako waliotangulia mbele za hak nao unasikia walimkashfu lowasa' haukuelewa ngoja tukupe somo, waliotangulia huku waktajwa kuwa walimkashfu lowasa ilisemwa tujifunze kuwa usimtukane mtu kwa afya yake, wote hatujui cku wala saa. halafu ww una element z kiccm hv.!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Kisarawe

    hahahahahaaaaaa, et nao wanasafisha barabara. daaaa ccm imefirisika kifikra..
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Kisarawe

    ndio n kushinda, kama unasupotiwa na weng kw nn usishnde!!!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Kisarawe

    walionyanyua mikono n wale waliovaa kijani tu
Back
Top Bottom