hivi mbunge yule viti maalumu wa maswa na mkuu wa wilaya aliechangia mwanzo ni nani??
maana amesema barabara ya mwigumbi to bariadi tayari imeshaanza.
nipeni jina limenipita plz
bugando ni wezi sana.
Miconazole cream dawa ya fangasi inayouzwa bei ya jumla 700 mjini maduka ya famasi wanauza 1500.
bugando wanauza 3500 bila huruma hao wakatoliki.
kama huamini nenda ukajionee hata ile famasi ya nje tu getini.
hispitali ya umma kupitia kanisa inakuwa ya wizi...

wewe huwa unabisha wakati hata kuchoma sindano haujui.
unafikiri inshu ya bugando ni hbr ya kusafirisha madawa na akina diamond.
kuwa na adabu unapoona wanaume wanaojua vitu wanachangia kuliko kuketa kimbelembele wakati hujui hata bugando wanapewa ruzuku ya shilingi ngapi kwa mwaka.
bado unaamini kuna serikali ya kujali wananchi???
ungejua kuwa hili bango sasa hivi halionekani limefichwa.
mode kwann mnatufanyia hivyo au mkurugenzi wa bmc ni mjomba wako??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.