Kama hutaki kumwamini mke wako ulioa wa nini?
Mwanamke ni shirika namba moja katika maisha ya mwanaume na ukikwepa ukweli huu kamwe ndoa yako haitadumu na kama itadumu upendo, furaha na amani utavisikia kwenye ndoa za jirani zako tu.
Kama ulifanya chaguo sahihi, kwa taratibu sahihi huna sababu...
Mahakama ni ya wananchi, serikali ni ya wananchi na bunge ni la wananchi na wananchi wanataka sakata la escrow lijadiliwe, nani mwenye mamlaka ya kuzuia? Kama macho ya watawala yanaweza kuona nje ya mipaka yaangalie Siera Leon kilichotokea. Wananchi watachukua mamlaka yao na kuwafurumusha...
Tanzania ni nchi yenye mifumo ya kiulinzi. Ni upuuzi kutishia watu kwa kujaribu kujenga picha ambayo itamuogopesha mtu yeyote anayefikiria kushiriki mdahalo huo. Kila atakayesoma post hiyo aipuuze kwani haijabeba taswira sahihi. Hii siyo somalia, libya, afghanistan au Iraq.
Ninachoweza kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.