Recent content by ngumu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Karibu tujuzane machache kuhusu SME

    Hii Ni kamari kama kamari zingine.... Kuna kupigwa kwenye head na kitu kizito au kupata........kuwekeza mtandaoni ndio mshahara wake.😂😂😂
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kero za umeme tunazopata wananchi wa kitongoji cha Viziko kijiji cha Kikongo; Naomba namba ya Waziri

    Acha matusi wewe naona hata thinking capacity yako iko extremely low!Huwezi ukatukana wananchi wa kitongoji wote! Umekosa adabu na heshima mpuuzi wewe! Hivi wewe ni mtanzania kweli? Huna maadili kabisa and in other words you are an empty nutshell!! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kero za umeme tunazopata wananchi wa kitongoji cha Viziko kijiji cha Kikongo; Naomba namba ya Waziri

    Acha zako! Umeme ndio nguzo ya maendeleo! Achana na mambo ya siasa! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kero za umeme tunazopata wananchi wa kitongoji cha Viziko kijiji cha Kikongo; Naomba namba ya Waziri

    Mwenye namba ya waziri wa nishati Tanzania naomba anipatie ni muhimu sana. Wananchi wa VIZIKO kijiji cha Kikongo tunateseka sana umeme tunabaguliwa bila sababu za msingi! Sasa hata kama una ndoto za kilimo cha umwagiliaji zinatoweka kabisa! Inakatisha tamaa! Miradi inafanyika kwa viporo...
  5. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuna shauku nataka nijiridhishe! Naomba mnipatie namba ya waziri wa nishati! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hizi ndio unnecessary contradictions katika utekelezaji wa miradi! Report itaandikwa kuwa Kikongo tayari iliishapatiwa umeme through mradi wa Peri Urban!Hii itamaanisha kuwa hata vitongoji vyake vyote vimenufaika na huo mradi! Hivi kweli ni nguzo ngapi zilizobaki in order to cover kitongoji...
  7. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Namba yangu 0629594321 Na nimeisha fika ofisi ya kata Kikongo nasubiri majibu toka kwa mwenyekiti na kama majibu hayataridhisha tuweze kwenda mbele maana huu ni ubaguzi! Vijiji na vitongoji vyote vinavyotuzunguka vitakuwa na umeme isipokuwa chetu!Kwa kweli haiingii akilini!
  8. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimeenda jana ofisi za ya kata ya Kikongo baada ya kuona nguzo zimemwagwa nyingi sana huku mafundi wakisimika nguzo na kufanya wiring kwa kasi! Niliongea na mwenyekiti akapokea hiyo changamoto akaahidi kwamba atanijibu baada ya kuwaona wahusika! Napatikana kwa simu 0629594321
  9. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Lalamiko langu kwa TANESCO Hivi inawezekanaje kitongoji cha VIZIKO kilichopo KIKONGO wilaya ya Kibaha Pwani kibaguliwe au kusahaulika kuletewa nguzo za umeme? Survey iliishia bondeni daraja la mwendo kasi na sasa hivi wenzetu wa chekeleni wanawekewa umeme na wakati wote tuliomba wakati mmoja...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji: Paspoti zinazotolewa siyo vitambulisho ndani ya nchi

    oh my God.....passport sio kitambulisho???Naamini atarudi kukanusha....
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kama hawa ndio Mawaziri wa rais Magufuli, kweli CCM ni ile ile

    Sura zilizozeeka kwenye macho ya watanganyika hazitaki anataka sura mpya suala la utendaji litajikoki
  12. N

    JamiiForums Tanzania The Observer: Tanzanians should stop provoking us

    OMG....Can it happen that M7 and his gang read this article and get deeply touched,feel the pinch thereafter embark upon magufulication?????It will be wonders........
  13. N

    JamiiForums Tanzania TCRA yakanusha kuwa na mpango wa kufungia Mitandao ya kijamii

    Hmmmmmmmmmm!iko kazi....
  14. N

    JamiiForums Tanzania My sad greetings to JK:

    vivid truth....very well said
Back
Top Bottom