Recent content by ngulukizi

  1. ngulukizi

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Hii vita mbaya sana
  2. ngulukizi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

    Mtu hauwezi kuamka ukaenda kwenye kuandamana Kwanza unaandaa shibe yako ili ukiandamana ni mwanzo mwisho Nb nimekutana na kifaru maeneo ya Ubungo sasa sijui wanainchi nao Wana siraha au
  3. ngulukizi

    JamiiForums Tanzania FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

    Leo game imekuwa ngumu Sana mpk Pakome anarudi nyuma kuzuia
  4. ngulukizi

    JamiiForums Tanzania FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

    Sema huyu msouth Simba wamepata mtu
  5. ngulukizi

    JamiiForums Tanzania Kwa pira hili hakukua na haja ya kwenda pre season Egypt

    Huyo unaweza kubishana naye Kwa akili yake inavyowaza unaweza Sema Chasambi kwenye mechi muhimu anacheza ile nafasi je hamza unaweza kumuanzisha namba 6 ikiwa Nje Una watu wa maana hata Yanga wenyewe wamejua ule ni uongo wa kocha nao wanajiandaa
  6. ngulukizi

    JamiiForums Tanzania Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

    Nenda Malawi na Zambia mi huko nilikuta mganga anatumia bible kupiga ramli hivyo kwenye hizi dini kuna namna Ipo sie ambao hatuzijui kuna vitu tumefichwa
  7. ngulukizi

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyabaini kwa Beki Hernest Malonga Anayetarajiwa Kujiunga na Simba Kumrithi Msaliti Mohamed Hussein Tshabalala

    Ila udhaifu wake inabidi akipata mbele pawe na mtu wa kumsaidia Huku nyuma huwa anajisahau sana
  8. ngulukizi

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja viwanja vinauzwa Mbande Tambani Mkombozi

    Yani Tambani ninunue kiwanja bei hiyo na kulivyo na shida ya usafili mvua ikinyesha kule
  9. ngulukizi

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Dah bongo waongo wengi sana
  10. ngulukizi

    JamiiForums Tanzania Tanesco Kigamboni hivyo vifaa mnavifata wapi??

    Hiyo kampuni NI ya kipumbavu siku hizi Nina mwezi tangu nilipie ukiwapigia wanakwambia waya Yani hii nchi NI ngumu Sana kuishi
  11. ngulukizi

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Sekondari wamegeuka Ma-Predator. Wanafunzi wanawatesa kimyakimya!

    Dah Sema mabinti siku hizi wamehalibika Sana kuna siku nipo shambani kwangu mkoa wa pwani wanafunzi wanapita mazungumzo Yao ni kuwa kuna mwalimu anamtaka mmoja wao halafu mwalimu mwenyewe kibamia,niliishia kusikitika sana
  12. ngulukizi

    JamiiForums Tanzania FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

    Kwa Sisi wazee wa kubet Ile penat
  13. ngulukizi

    JamiiForums Tanzania FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

    Jana wachezaji walikesha na waganga sijui mana sio Kwa kulegea hivi
Back
Top Bottom