Kuhusu mazao kukosa bei huyu jamaa anaota ndoto ya mchana, maeneo mengi mwaka huu ukame umeharibu mazao sasa sijui huyu anakaa nchi ipi maana hata angekuwa anakaa mjini angeona hali halisi ya hewa
Baada ya kutenganisha mkoa wa Manyara kutoka Arusha historia ya kilimo iliishia hapo maana Manyara ilikuwa inabeba Arusha, kuhusu uzalishaji wa mazao ni mwaka huu tu ukame ulikuwa mkubwa.
Kuhusu bei ya Ardhi ni kweli mikoa ya Kazkazini ardhi haishikiki kwa bei lakini pia bei ya mazao iko juu...
Unajua watu wanafanya haya maisha yawe magumu; wanaume tunatakiwa kupunguza wivu ati sababu hata akipeana na mtu K haitaisha wewe cha msingi ni kumwambia asijeshika mimba ili usijelea mtoto wa mtu. kuchakatana nadhani tungewaachia wanawake waamue tu kama kama kunanjaa wake anataka kumsponsor...
unajua wew jamaa ni hewa kabisa, unajua wew hauelewi kitu yeyote. haujui hata vyanzo vya mapato ya serikali na kutokana na hivyo vyanzo ndo mnalipwa nyie wajinga mlioajiriwa
Unajua ukiwa unafikira hafifu utamwona huyu jamaa kaongelea bonge la point. kwani huyu mfanyakazi mshahara anayelipwa serikali imepata pesa wapi? kodi ya 18% ya mshahara wake ndo itamlipa yeye? kiasi cha VAT anayokata ni ndogo kujilipa ndo maana tunasema analipwa na kodi zetu tena inaonekana wew...
Kutoa tip yani asante ni muhimu tena kwa kile mtu amefurahi nayo ila kwa hawa watu wa TANESCO wanadai mpaka kero tena wanakupangia kiasi cha kutoa. hawajui huyu anayeomba kuunganishiwa anahaso kuliko hata wao hambao wanalipwa na kodi zetu yani wanadai utafikiri huwa hawalipwi mshahara hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.