Recent content by Ngovongo

  1. Ngovongo

    JamiiForums Tanzania From Ukonga Prison: Tundu Lissu atoa taarifa kuwa yupo katika tishio la kuuawa!!

    Idadi kubwa ya vifo Tanzania Inatokana na Kansa, bodaboda na Ccm
  2. Ngovongo

    JamiiForums Tanzania Hakuna wa Kumfanya lolote Mh Nchimbi ndani ya CCM , kidogo akina Mwaipopo,wahuni wengineo ndo watatumwa kumshabulia. KATOLIKI MLINDE UHAI WA NCHIMBI

    Vifo vya watanzania wengi vinatokana na KANSA, BODABODA na CCM
  3. Ngovongo

    JamiiForums Tanzania Serikali tumieni akili kudeal na vurugu, mnatuletea hasara tu

    Zamani tulivyokuwa wadogo Mdingi alikuwa anatupakia ktk gari yake Toyota pickup Tunapakia kule nyuma watoto wa mtaani na majirani wote Tunakwenda saba saba Jioni tunarudi na Sabuni za komoa na mafuta ya Asante Moproko na maziwa ya Unga ya Cowbell 2026 SABA SABA Tunafungia watoto wetu ndani 🤔
  4. Ngovongo

    JamiiForums Tanzania Maandamano haramu ya CHADEMA yakwama, wananchi wadinda kujitokeza kufanya ghasia, waendelea kuchapa kazi zao kama kawaida kwa amani

    Kila week pakiwa kunaitishwa Maandamano hivi Nchi inakufaa kiuchumi Leo hata wapika vitumbua hakuna road dah
  5. Ngovongo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Meneja Tehama Clouds Media achukua fomu CHADEMA kuwania Udiwani

    HIVI HII TAKUKURU KWELI IPO? OR CHANGA LA MACHO TU ?OR KUNA WATU WENGINE WAPO JUU YA SHERIA HUKU KATA YETU YA MWANDEGE WILAYA YA MKURANGA MKOA WA PWANI KUNA MGOMBEA UDIWANI WA CCM ANAITWA MPEMBA ANAGAWA PESA KAMA NJUGU
  6. Ngovongo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]
  7. Ngovongo

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Waathirika wa Corona (COVID-19) wafikia 49 kutoka 32

    hakun mimba hapo nikucheza na P2 tu wife anazijulia sio plyastation hio..now nipo out naangaliwa na migomba na mihogo nimefata network naperuzi JF...town ni May jamani Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Ngovongo

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Waathirika wa Corona (COVID-19) wafikia 49 kutoka 32

    Corona ukiipata ni ya kwako na familia yako..Why nisubirie lock down ya kutangazwa..wallahyi toka jmatano nipo home na watoto na wife..na kilo za super kyela, mkaa,gas, Kuni, out tembele na majani ya kunde yanakuja vizur na hizi mvua. Mwendo ni kudownload movie kupitia Torrent kula na kulala...
  9. Ngovongo

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Hali ya watanzania ni ngumu, ni maskini sana wanaishi kwa kubangaiza, tukifunga nchi hawataweza kula

    Hio south Africa mpka leo aijawai kureport vifo hata vya watu 10 kwa siku iwe Dar es salaam ndio ije kuripuka? Corona ipo ila Tusitishane Jidu La Mabambasi, Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Ngovongo

    JamiiForums Tanzania Trump amekuwa mpole kwa Rais wa China Xi

    Duh Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Ngovongo

    JamiiForums Tanzania Trump amekuwa mpole kwa Rais wa China Xi

    Mkuu yote yanawezekana vita ni vita muraaa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ngovongo

    JamiiForums Tanzania Trump amekuwa mpole kwa Rais wa China Xi

    Mkuu hakuna kinachoshindikana ktk hii Dunia kwa mawazo yangu Dunia ya sasa vita ni mikakati kama hii kuliko vita ya mabomu na vifaru Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Ngovongo

    JamiiForums Tanzania Trump amekuwa mpole kwa Rais wa China Xi

    Ni kwamba aminiki kiasi icho [emoji23] issue ya corona kuna anayeaminika mkuu kila mtu anaongea na haya mawazo yake Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ngovongo

    JamiiForums Tanzania Trump amekuwa mpole kwa Rais wa China Xi

    [emoji23][emoji23][emoji23] mkuu kwa hio hoja zake azina maana tulichambue shati lake tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom