Recent content by ngoshamaguzu

  1. ngoshamaguzu

    Mliofiwa na wazazi (mama), mliwezaje kuvuka kipindi hiki?

    Mungu akutie nguvu sana maana. Ukizingatia yeye ndio alikuwa mtu wa karibu kwako.kikubwa mungu ailaze mahali pema roho ya bi. Mkubwa Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  2. ngoshamaguzu

    Mwaka mmoja tokea kifo cha Hayati Rais Magufuli

    Hakika,mwamba utabaki kukumbukwa na watu masikini,acha hawa wanaotumia muda mwingi kuandika vitu vya kukuchafua lakin kwetu ss huna baya ulilotenda mwana wa afrika.
  3. ngoshamaguzu

    Gharama za maegesho kuanza kulipwa kwa njia ya mtandao

    Tatizo sio kulipa ila kitu kinaitwa tozo ndo mchawi
  4. ngoshamaguzu

    Gharama za maegesho kuanza kulipwa kwa njia ya mtandao

    Natumaini mko vizuri mnapambana kutafuta riziki Ngoja nijikite moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Leo trh 23 aug 21 kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa dar imetoa maelekezo ya kuanza kutumika kwa mfumo wa ulipaji gharama za kupaki magari kwa njia ya kielectroniki ambapo mitandao yote...
  5. ngoshamaguzu

    Tozo mpya:NMB Huko Bank nyingine pakoje

    Wako wapi wazee wa mitano tena dah.[emoji1787][emoji1787] jamaa wanaugiga mwingi kinoma noma
  6. ngoshamaguzu

    Tozo mpya:NMB Huko Bank nyingine pakoje

    Habari za miangaiko wadau, Ngoja nijikite moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Leo katika pitapita zangu nikakutana na hii inshu ya gharama mpya za kutoa pesa na ada ya mwaka ya kwenye a/c ya Nmb zimeongezeka. Binafsi sijapata ujumbe wowote kama walivyofanya mitandao ya simu kutujuza...
  7. ngoshamaguzu

    Kwanini Jeshi imara kama Israel halina 4 stars General?

    Hapana yule alikuwa kaka yake na alikua operation kamanda ,kabla ya oparation kifanyika alijua kabisa yeye atakufa maana kabla ya operation walifanya rehersal ikaonekana kuna watu watapigwa risasi akiwemo yeye
  8. ngoshamaguzu

    Jaribu haya maisha, Utaona matokeo mazuri

    Una maana unataka akubali chanjo
  9. ngoshamaguzu

    Hivi ni sawa hili la kuhubiri ndani ya mabasi ya umma?

    Hulazimishwi kusikiliza,kama ni kero nunua gari lako Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  10. ngoshamaguzu

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Ndo dawa ipi mkuu Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  11. ngoshamaguzu

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Nianze kwa kuwatakia Jpili njema wote. imekuwa miaka 5 tangu nikutane na rafiki yangu ambae sasa ivi amekuwa kama ndugu yangu wa karibu sasa. Amekuwa msiri sana katika mambo yake ya mahusiano; kiufupi sikuwahi kumuona ana-date na mwanamke. Hii nikajua ni kutokana na malezi ya wazazi wake ni...
  12. ngoshamaguzu

    Vijana tutafute fedha kwa kila hali. Mtu mzima ukiwa maskini Jamii inakuona umerukwa na akili

    Kama wale wa low quality faster ukutani sikupingi Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  13. ngoshamaguzu

    Hawa ndio wasanii wa Tanzania, hawaoni kundule, ni wapumbavu mpaka wanatia hasira

    Badala ya kuiombea zanzibar anajofanya kuficha makucha ya CCM yake Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  14. ngoshamaguzu

    Vijana tutafute fedha kwa kila hali. Mtu mzima ukiwa maskini Jamii inakuona umerukwa na akili

    Mkuu imeanza vizuri lakin umemaliza kwa ushauri mbaya nyeto! Utawaponza wakat wa kuoa over Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom