Hawa ndio wasanii wa Tanzania, hawaoni kundule, ni wapumbavu mpaka wanatia hasira

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,448
16,311
Bongo muvi na Bongo fleva mnatia aibu sana. Wengi wenu hamna akili za kuintegrate na kuchambua issues za ulimwengu huu.

Unapataje guts za kutweet #endSARS wakati serikali iliyofanya mauaji ina urafiki na serikali yako, wakati wewe mwenyewe upo upande wa serikali yako?

Leo na kesho serikali yako ikitoa tamko la kusimama upande wa Buhari utaficha uso wako wapi wewe Kiba? Kwa nini usitoe tamko kuitaka serikali yako ikemee kinachoendelea Nigeria?

Acha tuendelee kusikiliza muziki wa kinigeria tuu. Wasanii wa bongo zero kabisa.

Screenshot_20201021-103824.jpg
 
Huyo ni kihiyo! anafuata mkumbo baada ya kuona wasanii wa kibeberu (Marekani) nao wameandika kuonyesha hisia zao na kuungana na wasanii wenzao wa nigeria kuilaani SARS.
 
Binafsi huwa napenda kuwaona wasanii wetu wanapokemea maovu yanapotendeka popote pale duniani, ila kinachonikera ni double standard zao na kuwa bias.

Hata kama ikitokea Serikali ya Alikiba kuwa upande wa Serikali ya Buhari sidhani kama kutakuwa na ubaya wowote Alikiba kuwa kinyume na Serikali yake maana uzalendo si kuipenda ama kuwa pamoja na Serikali yako.
 
Kiba ni Zero Brain ,anadhani kina Davido na Wizkid wanavyosifiwa kwa kupinga police brutality huko nigeria na yeye kama linaoga nje likakurupuka #endsars huko nigeria likadhani litapewa sifa..yaani ni lipuuzi kweli.....badala ya kukemee uhuni wa policcm na necccm hapa tanzania ndio kwanza linasapoti shenzi kabisa...mimi ndio maana hawa wasanii wapuuzi walio upande wa watesi huwa sina time nao na wala siwasupport hata kidogo.
 
Bongo muvi na Bongo fleva mnatia aibu sana. Wengi wenu hamna akili za kuintegrate na kuchambua issues za ulimwengu huu.

Unapataje guts za kutweet #endSARS wakati serikali iliyofanya mauaji ina urafiki na serikali yako, wakati wewe mwenyewe upo upande wa serikali yako?

Leo na kesho serikali yako ikitoa tamko la kusimama upande wa Buhari utaficha uso wako wapi wewe Kiba? Kwa nini usitoe tamko kuitaka serikali yako ikemee kinachoendelea Nigeria?

Acha tuendelee kusikiliza muziki wa kinigeria tuu. Wasanii wa bongo zero kabisa.

View attachment 1607064
Punguza hasira na matusi kisha 28 Oktoba tukapige kura namna hii
 
Attachments

  • IMG-20201021-WA0002.jpg
    IMG-20201021-WA0002.jpg
    98.5 KB · Views: 1
Kati ya watu nnaowaona vilaza kiwango cha uzamivu ni wasanii wa bongo

Wasanii wenyewe snura ,shilole,harmonize et all..
Wanaelimu gani mpaka wajitambue.Wasanii wanaijeria wamesoma, hapa kwetu njaa tu hawana lolote( (failure).Ukisikiliza nyimbo zao ni takataka tu hawana jipya.Vyombo vya habari vinawakuza vifanye biashara lakini hamna kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom