Recent content by ngosha2011

  1. ngosha2011

    Phone4Sale Opay M1 lite inauzwa

    Xmas offer Bei ya Punguzo JIPATIE OPAY M1 lite Full view display Fingers print 3000mAh battery [emoji367] 2GB Ram 16 Gb Front camera 5.0 MP Back camera 8.0 MP Full box SEALED Bei 135000 WhatsApp 0756549762
  2. ngosha2011

    Tatizo la Samsung A80

    Simu haikubali kuconnect na earphone type C, pia nimenunua USB type C adapter imegoma, msaada Sent using Jamii Forums mobile app
  3. ngosha2011

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Simiyu hola Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ngosha2011

    Msaada nataka kutumiwa pesa toka Afrika Magharibi

    Hapana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. ngosha2011

    Msaada nataka kutumiwa pesa toka Afrika Magharibi

    Asanteni sana kumbe ni wale matapeli Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ngosha2011

    Msaada nataka kutumiwa pesa toka Afrika Magharibi

    Mi natumia nmb mkuu inawezekana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ngosha2011

    Msaada nataka kutumiwa pesa toka Afrika Magharibi

    Anataka via bank Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ngosha2011

    Msaada nataka kutumiwa pesa toka Afrika Magharibi

    Msaada njia gani ya kupokea pesa? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ngosha2011

    NINUNUE SIMU IPI USHAURI

    Wapi napata kwa bei hiyo?
  10. ngosha2011

    NINUNUE SIMU IPI USHAURI

    Bei kaka na ntapata wapi
  11. ngosha2011

    NINUNUE SIMU IPI USHAURI

    Natumia infinix S4 ina ram 3gb, storage 32gb, camera ipo safi, nataka kununua simu iwe inazidi sifa hii yangu, nina bajeti ya 400000,au kama kuna mtu anataka exchange sawa ila awe na simu juu hii ntamuongeza na pesa, isiwe iphone, Nipo dodoma mjini, Contact:0683357425
  12. ngosha2011

    Wapi naweza pata huduma ya westen union kwa siku za sikukuu kesho Jumatatu ya Pasaka?

    Nipe maelekezo anatumaje toka Malawi na Mimi napataje
  13. ngosha2011

    Wapi naweza pata huduma ya westen union kwa siku za sikukuu kesho Jumatatu ya Pasaka?

    Naomba kuuliza nataka nitumiwe pesa toka Malawi, je naweza kwenda posts yoyote Tanzania kupokea pesa hiyo via western union na niwe na vitu gani maana Ni Mara yangu ya kwanza
Back
Top Bottom