Recent content by ngosha omuchalo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Balozi Juma Mwapachu ajivua uanachama wa CCM, hajaamua kujiunga na chama kingine

    Hyu mbna kajitoa mda mrefu...hta hakuna atakacho badilisha
  2. N

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa anasambaza habari za uzushi za kifo cha Mkuu wa Majeshi atiwa mbaroni

    Kwani hyu anayetukana sheria ya mtandao hajaskia😅😅
  3. N

    JamiiForums Tanzania Harambe ya UKAWA magumashi

    Hiki ni kiini macho wanataka utakaso wa pesa zao chafu kutoka kwa wa wafazili wao
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msigwa aliposema mkutanoni alikuwa anaota?

    Ukulu ipi unazungumzia maana ile ya magogoni wananchi wanaojitambua tyr wamechagua.... Nendeni mkaanzishe ya kwenu uko northern rhodesia😆😆😆
  5. N

    JamiiForums Tanzania Sumaye haeleweki anachosimamia

    Huku na yy akijua ni mr.zero na pia anataka tena awe kiongozi maana maneno yke mwenyewe kasema ukahawa hawana uzoefu..yy ameenda kutumia uzoefu wake ambao unajulikana kwa ubazilifu na unyonyaji..
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

    Nenda kwa mr.zero atakupa majibu yote
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msigwa aliposema mkutanoni alikuwa anaota?

    Nikiona hizi kauli ambazo leo hawa chagadema wanazifumbia macho wakt wao ndo walituaminisha huo ukweli leo tena wanakuja na kauli tofauti....nikiona haya nasema trh 25oct...nitapigia alam ya kijani kuanzia diwani mpka rais bila kusoma ata majina.#teamjpm
  8. N

    JamiiForums Tanzania Sumaye haeleweki anachosimamia

    Kwa kweli itabidi tushangae pia mtu kma hyu aliwezaje kuwa pm kwa kipindi kirefu hicho
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni kweli yanga ni tawi la ccm-nimejitoa rasmi kusapoti leo

    Ukihusicha kilabu ya soka una chama siasa ...utakuwa lofa pia na mpumbavu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa na kauli za kilaghai

    #Magufuli Nitapanua bandari na kudhibiti rushwa ili ilete mapato zaidi. #Edo Nina hasira za kupambana na umaskini, nachukia sana umaskini.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa na kauli za kilaghai

    Tz kuna marais wengi sana...ila yy kasema ni rais wa boda#2 na mama ntilie bas...muacheni awe...cc tunae rais wa wtz
  12. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuhutubia kwenye viwanja vya Mwembeyanga ni dhihaka kwa wapinga ufisadi nchini

    Hakuna upinzani tz wote wasaka tongetu#teamnoteam
  13. N

    JamiiForums Tanzania Masikitiko: James Lembeli kupigwa chini

    Wames'tukaaa
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Shinyanga UKAWA hawachukui hata jimbo moja

    Hii pia haipingiki majimbo yote ya maswa... Nataka wapoteze pia
Back
Top Bottom