Kama Ukawa Watangoja Mpaka Bunge Livunjwe Watakuwa Wamekosea Sana. Bunge Likivunjwa Kila Mbunge Anahangaikia Jimbo Lake, Hawa Akina Lissu, Mdee, Joseph Haule, Wenje Ben Saanane Yerko Nyerere, Mtoi Jusa Mtatilo, Silinde Kafulila, Mkosamali Machali Na Wengine Wengi Ukawa Timu Bora Ila Mnachelema...