Recent content by Ngosha jay

  1. Ngosha jay

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Emmanuel Buhohela?

    Duh,kumbe jamaa sasa hv ni level za kimataifa!!
  2. Ngosha jay

    JamiiForums Tanzania Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Na Butiku nae ,achen unazi wa vyama vyenu!!
  3. Ngosha jay

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wakati mama yangu anaumwa, mimi nilimpatia Kafulila makabrasha ya ESCROW akapambana

    Zzt ni msaliti lkn mpaka leo hamjathibitisha usalit wake,!!
  4. Ngosha jay

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Mnyika kurudi bungeni ni 100%

    Mbowe mwenyewe anakubalika zaid ya mnyolika lkn hawezi kupita kwa 100% '
  5. Ngosha jay

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Mnyika kurudi bungeni ni 100%

    Akipita kwa 100% mie ctaingia tena jamii forum!! Utafiti wa ajabu huo hata mtoto mdogo anaweza kosoa,toa takwimu co kusema tu!!
  6. Ngosha jay

    JamiiForums Tanzania Makete kuangukia mikononi mwa CHADEMA

    Hutakiwi kujibu hoja unatakiwa kwenda kwenye uhalisia kijana,uchu wa madaraka ni tatizo la watanzania wengi,nimesoma post cjaona cha maana zaidi ya uroho wa madaraka mliokua nao, Hzo write up zimemfaidisha nan?
  7. Ngosha jay

    JamiiForums Tanzania Nauona Ugumu wa kupambana na CHADEMA

    Tuache ushabiki twende kwenye ukweli,nn maana ya ukombozi ni nn kifanyike ili tupate huo ukombozi,na nan ataefaidi hayo matunda ya ukombozi!!#
  8. Ngosha jay

    JamiiForums Tanzania Kwa utaratibu uleule, Kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo awaambie vyanzo vya mapato ya Chama

    Kweli kutokujua mambo ni shida,sasa akague pesa ya nani,mmeshawapa ruzuku hao,au kila mtu cku hz ni wa kujaguliwa?
  9. Ngosha jay

    JamiiForums Tanzania Kwa utaratibu uleule, Kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo awaambie vyanzo vya mapato ya Chama

    Anza na chana chako mkuu ndio uje kuuliza upande wa pili Zzk mlisema amefilisika kisiasa leo nn tena,mnagombana na kivuli hii kweli ni shda
  10. Ngosha jay

    JamiiForums Tanzania Emanuel Buhohela acha kumzushia Mh.Mnyika

    Mbunge ni nani katika jimbo lake,,##!may be celewi!!!!
Back
Top Bottom