Recent content by ngong'o

  1. N

    JamiiForums Tanzania Bodi ya TRA kwanini haijavunjwa, Bade kaonewa?

    Nimepitia thread nyingii humu naona the boss una defend bade n kama hurithishwi na utendaji wa magufuli..nahisi unapersonal interest na bade haiwezekani ukawakila siku unamkingia kifua au unajua container zilipo unaanza kujitetea kupitia jf..mwache raisi apige kazi utajua mwisho wa bodi ya tra...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    Huyu ben saanane sijui anaongelea ushabiki na anajua kuwa kuna watu watu ukawa watapatwa na tingatinga. Na mjomba magu akiendelea hivi tanzania mpya ileeeee
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watoto wa Dr. Magufuli wanasoma shule za kata?

    Mmoja alisoma st matthews kuanzia 4m 1 hadi 4m 6 baada ya hapo akaenda Ruco iringa kwa sasa anachukua masterz udom na ndio first born anaitwa joseph john pombe magufulii
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Tuwe na imanii nae tu kwani hata magufuli hatukutegemea kama angekua raisi tumpe muda ndio tuanze kucomment#hapa kazi tuuu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nani simu yake imeweza kusoma 4G akiwa anatumia sim card ya tigo 4G?

    Tigo sio wazushi katika 4g mzee sema simu yako ndio yakizushii
  6. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli wakati akiwa Waziri wa Ujenzi akitema Ung'enge

    Jembe lipo vizurii sanaa kwa lughaa#hapa kazi tu
Back
Top Bottom