Recent content by ngondoiwela

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwa nini baada ya ten(10) haifuati ten one??(11)

    Mamba za msingi ni kumi tu...sifuri hadi tisa...baada ya halo hujirudia hizo hizo kwa namna tofauti pengine kulingana name lug a husika... Kumi ni sifuri na moja... 11...12...13 n.k kwa MANENO ya kiingereza ingeweza Kuwa ...ten one ....eleven...ten two...twelve...ten...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwa nini rais wangu JK ana penda vijembe

    Acha umburura...inafananisha nchi Hii na US kwani zina matatizo na status zinazofanana ...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

    Unajua ubora wa vyuo unavyopimwa we we...unakurupuka tu...toa upuuzi wako...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

    Sijui nikutafutie tusi gani mburura we we...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kuuliza Multiple Choice Question katika University Exams: Tunapima nini?

    MCQ zinalenga kupima eneo moja la ufahamu wa mwanafunzi kati ya cognitive...psychomotor na ....malizia wewe unapenda kutafuniwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kuuliza Multiple Choice Question katika University Exams: Tunapima nini?

    Na kama si mazuri mbona wanafunzi hawayapendi
  7. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    We Lyimo ndio mbaguzi... Unaleta Ukaskazini hapa...kama halmashauri ya kichwa chako iko sawa unaweza kubisha CDM hakina Demokrasia ya kweli...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Hoja nyingi hapa no hafifu... Mbona Kapteni alikubali kuacha jeshi ili awe mwanachama...kwa wasanii tatizo nini ...ila ikiwa upande mwingine poa tu ....Ovyo sana...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Mbona wengine nip wabunge...Wa TZ wengi hatujadili jambo kwa hoja... Tatizo ni nini...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    We Mbelwa acha utumwa wa kifikra... Narrow minded... Una post nini ...Unaendekeza mfumo dume halafu unataka mabadiliko...Hovyooo...
  11. N

    JamiiForums Tanzania ElimuTiba: Jinsi ya kujieleza kwa Daktari

    Well and good...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Kifimbo hakijapokelewa tz peke yake ... utamaduni nchi za jumuiya ya madola
Back
Top Bottom