Mh Sumaye amewaasa vijana nchini kumalizia kaburi hili la kuizika CCM tarehe 25 oktoba 2015 kwani mkisema mmechoka marehemu anakosa haki yake ya kuzikwa salama.
Profesa wa wagonjwa wa vichaa hospital ya mirembe amewatahadharisha wagombea urais kuwa wanaohudhuria mikutano yao sio lazima wawapigie kura kwa wingi ule hao ni binadamu watachagua baada kuwachuja msiumie roho mkishindwa kwani mnaweza pata madhara akilini
Majimbo ya isimani kilolo na mafinga mjini yanakwenda ukawa baada ya wanaccm kuchoshwa na ulagahi wa chama chao kwa wananchi na wamesema sasa popo wameamshwa asubuhi tutawafundisha kazi
Mke wa waziri mkuu aliyekatwa kugombea uraisi asema mume wake sio makapi au oil chafu kama huamini mpe mkeo uone ameyasema hayo kwenye sherehe ya kitchen party ya binti wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.