Recent content by ngolomiko

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba

    Tangu akumwage umekuwa na hasira naye kishenzi....kubali tu bibie
  2. N

    JamiiForums Tanzania Weekend hii

    Me au Ke? kama Ke una chura?
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kunizalia mtoto

    ngoja waje akina Cute Cindy ,cute b ,Baby Doll ...watakufaa
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

    Ni kweli ..mimi namba 3 ilivunja ndoa yangu
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaolewa na mwanaume asiyesafiri mara kwa mara. Never.....!

    Kimeo bhana.....hakuna wachumbiaji wa kweli siku hizi...na huna jeuri ya kuchagua mme....sababu umri umeshakutupa mkono....paka nyau we
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa viumbe hawawezi kuwa waaminifu

    Age yako ndiyo tatizo mkuu.....ukikua utaelewa
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kusalitiwa na mke wangu nimeamua yafuatayo

    Pole kama nawewe umehamishiwa Dom....Heri ya lawama kuliko fedheha...kiumbe wa kwanza kuongea na shetani na kuelewana alikuwa mwanamke..kwa hiyo utanielewa tu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Karibu kwangu mke mwema

    Nakujua wewe siyo kibonge....ila haupo serious
  9. N

    JamiiForums Tanzania Karibu kwangu mke mwema

    Nimeshaeleza hapo juu kuwa aliye serious tutawasiliana inbox, na ndivyo inavyofanyika sasa
  10. N

    JamiiForums Tanzania Karibu kwangu mke mwema

    Wanajamvi Natafuta mwanamke aliye serious ambaye atakuja kuwa mke mwema kwangu, .Awe na sifa zifuatazo kwa ufupi; 1 Awe mcha Mungu 2.Awe Mkristo ,kama ni muislamu awe tayari kubadili dini 3.Asiwe mfupi wala kibonge .Awe mrefu wa wastani 4. Rangi yeyote. 5.Awe na elimu ya chuo 6.Awe...
Back
Top Bottom