Habari za siku wanajukwaa hili, tangu ndugu Magufuli aanze mbio za kuusaka Urais kwa tiketi ya ccm amekuwa na kauli ambayo haachi kuisema kila anapohutubia, "SITAWAANGUSHA" , nimekuwa nikijiuliza sana huwa anawaambia nani hasa? na maana yake hasa ni nini?.
Najaribu kuuangalia mfumo nzima wa...