Recent content by ngolomabel

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ibada ya Jumapili 26/03/2017 Bishop Dr Josephat Gwajima, Wageni kadhaa wahudhuria

    Ulitaka habari mpya ipi mwacheni atoe ya moyoni
  2. N

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Kaimba watu kwenye wimbo mpya
  3. N

    JamiiForums Tanzania Aneth Msuya ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya auawa kinyama Dar

    Mbona unaleta siasa hapa unaonekana una chuki zako wewe binafsi hapa kinachoongelewa ni msiba wewe waleta Siasa zako peleka hukoo
  4. N

    JamiiForums Tanzania Bravo Juma Msuya wa TANESCO Makao Makuu, asante JamiiForums

    Afadhali umeligundua hilo wengine wanaleta mabifu yao tuu humu jf kutaka kuchafua wenzao tuu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Shekhe Yahaya akiongelea Majini

    Ni kweli kabisa ndugu yao kuwasaliti na hawataki kukubali
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ‘aliyeota mizizi’ Bangladesh

    Ni shidaaa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nimefiwa na mama yangu naomba msaada wenu

    Poleee
  8. N

    JamiiForums Tanzania Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema

    Kasepeswa mda mrefu Sana na ndo visa vilipoanzia hapo ndo mana wamemtoa na Dina inaonekana kulikua na kabifu na nchakali ndo wamemtoa na Dina
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Radio Free Africa Fredwaa atimkia Clouds Fm

    Kweli bado mgeni atachangamka tuu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema

    unaonekana nawe ni mwana Familia wa mawingu sio bure
  11. N

    JamiiForums Tanzania Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema

    Yaan Ile nguo ndo million moja wala hakupendeza kama ni Ile nyeupe ni Mbay na kichwan alichekesha
  12. N

    JamiiForums Tanzania Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema

    Mmmhh cheusi mangala wakati Anajiung alikua mpole alivoanza kutoka na ruge ndo akawa nae machachari kweli lol sikapendi
  13. N

    JamiiForums Tanzania Dina Marios afunguka bifu lake na Zamaradi Mketema

    Kwi kwi kwi kweli kabisa Anamzarau mke wa boss alitakiwa amnyenyekee adi watoto wake anyenyekee Aya sasa amewekwa benchi Lakin maisha ni popote
Back
Top Bottom