aa du....
je kipindi hicho kulikuwa na safari nying za rais...
kipindi hicho sukari ilikuwa 800 saiv 2000
kipindi hicho bia ilikuwa 600 saiv 1800
kipindi hicho soda ilikuwa 350 saiv 600
so kwa hesabu za haraka haraka makusanyo stl ni yale yale
kwa mara ya kwanza toka uhuru wa nchi hii,
mji mdogo wa namanga, longido kati ya mitaa 7 ukawa imeshinda 3
mingine tumeshindwa kwa tofauti ndogo sana.
big up and go on ukawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.