Kumbe habari ujaisoma vizuri. Askari walienda pale kwa ajili ya kuhakikisha amani inakuwepo. Fujo imetokea lazima askari waende kutuliza ghasia kwa sabb wapo pale kwa sabb hiyo.
Ajabu askari wapo pale, fujo bado inaendelea wangefanyeje sasa
Mimi sio Polisi, ila nilipita JKT nilifundishwa hivyo. Askari unapokuwa na silaha kwa ajili ya kuimarisha ulinzi kitu cha kwanza ni usalama wako kwanza. Kwa hiyo hapo ulitaka askari apokonywe silaha na apigwe?
Kama askari alipiga risasi juu kuashiria watu watawanyike na wasiendelee na fujo, lakn wakakaidi na wakazidi kumshambulia askari akiwa na silaha hapo lazma silaha itumike kwa ajili ya kujihami
Habari ya saa hizi ndugu zangu.
Naomba msaada kwa yeyote mwenye detail na kozi ya CYBER SECURITY AND DIGITAL FORENSIC SCIENCE inayofundishwa Chuo Kikuu cha Dodoma.
Kuna mdgo wangu anahitaji kusoma hiyo kozi nawaalikeni tumsaidie mdgo wangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.