Recent content by ng'ojine

  1. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa,Tutalivuka daraja

    Mkuu mbung'o Wala huna haja ya kulizungumza hili huyo anayemwambia anatambuwa mwenye zigo la Richmond ni nani,hata watanzania kwa ujumla wao wanatambuwa mwenye zigo la richmond ni baba mwanaisha
  2. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa,Tutalivuka daraja

    mkuu waambie tushavuka kitambo madaraja sasa hivi tunamalizia kuvuka bahari
  3. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa,Tutalivuka daraja

    we ulivyokimbia fb ulidhani kuna wanafunzi wenzako humu?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa,Tutalivuka daraja

    siwez nikawa na baba mwenye akili matope kama wewe!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa,Tutalivuka daraja

    Nimeona kwa maadili ulinayo nayo hupaswi kuwa humu ndani Fb panakufaa kabsa
  6. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa,Tutalivuka daraja

    na umri wote ulio nao ujawajuwa bado??we naona bado fb panakuhusu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa,Tutalivuka daraja

    uatsubiri sana ila ungeniambia lowassa ataitosa sisiem ningekuelewa yule mzee wa maamuzi magumu hata mama salma anaujuwa mziki wake
  8. N

    JamiiForums Tanzania Namelok Sokoine/Ole Naiko monduli 2015 kwa faida ya nani na manufaa ya nani?

    hivi wale ng'ombe mia sita aliouza wa ndugu yake alishamlipa?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Membe amdhalilisha rais,aomba fedha na magari uarabuni kwaajili ya mbio za urais

    nafikiria ungemshauri mods anzishe jukwaa la udini na uchochezi pangekufaa sna humo
  10. N

    JamiiForums Tanzania Membe amdhalilisha rais,aomba fedha na magari uarabuni kwaajili ya mbio za urais

    duh,mara kala hela ya misikiti,mara kala hela za ubalozi!!Membe huyu huyu
  11. N

    JamiiForums Tanzania Membe amdhalilisha rais,aomba fedha na magari uarabuni kwaajili ya mbio za urais

    angemvua kabsa na chupi huyu mjinga mjinga aliyeajiriwa kwa kushinda mitandaoni
  12. N

    JamiiForums Tanzania Membe amdhalilisha rais,aomba fedha na magari uarabuni kwaajili ya mbio za urais

    kwani Mungu ni mjinga amuoteshe janaba kama li.e ndoto za kutawala tz,ameona haoteshwi akaamuwa kuingia bila kuoteshwa ila naamini ccm watakuwa wamechemka sna kumpitisha huyu mjomba
Back
Top Bottom