Recent content by Ngogi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Niraidie jamani kwa hili,.nahitaji sana msaada!.

    nilisoma certificate ya uhasibu then nkafanya kazi as cashier miaka miwili halafu ndo nkaenda kusoma degree,sio fix other wise nielimishwe zaidi kuhusu masuala hayo ya experience
  2. N

    JamiiForums Tanzania Niraidie jamani kwa hili,.nahitaji sana msaada!.

    Habar wanajamii?,mi ni kijana wa kiume na mtanzania. Nimehitim digrii ya uhasibu(bachelor of Accountancy-2011) pia nina uzoefu wa miaka miwili as CASHIER,naomba yeyote mwenye nafasi ya kazi anisaidie maana maisha tight jamani. Asanteni.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mgeni kama mwenyeji vile..nipokeeni jamani.

    Habari wana JF?,tafadhari naomba mnipokee nani. Si mgeni sana kwan nimekuwa nikiitumia JF toka mwaka 2007 leo nimeona vyema kuungana na wenzangu kupigania nchi kwa mawazo pia kuwa huru kupata msaada na michango ya kimawazo ya wana great thinkerz.
Back
Top Bottom