Mkuu, usiamini sana maoni ya wananchi hasa kwenye edited videos, kwani hujaona documentaries za kumsifia huyo mrwanda? Hao pia ni wananchi, ni sawa tu ukahoji wananchi wa dodoma kuhusu utendaji wa rais. Maoni ya watu hayapresent uhalisia bali utashi wao, easy to be manipulated, wakisikia kitu...
Hahahahaa ahsante sana mkuu kwa kunifumbua macho, angalau sasa nimepata kitu kipya ambacho nilikuwa sikijui.....wanasema knowing what you don't know is the beginning of knowledge. kwahiyo asante! But hapa hoja sio nani, hoja ni kwanini? kwa maslahi ya nani? hizo ulizoandika hapo juu ni...
Kwahiyo unataka kuaminisha watu kwamba wazungu ndo wanaiba? Then kama wanaiba, UN wanaenda kufanya nini congo? Na ni nani anayeuwa wanajeshi wetu? Ulichokishauri ndicho ambacho yule mtutsi na mtutsi mwenzie sizonje wanachotaka. Simple logic, kwa akili ya darasa la kwanza tu, unataka kwenda kuiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.